Kile kipindi ni cha siku nyingi ,kilikuwa recordedMalumbano ya Hoja ya ITV wiki hii yalikuwa mkoani singida
1: Serehe za maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani singida, na wari mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Serehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kaniasa huko singida.
Nimekuelewa sana mkuu, wewe unacheza uswezi na mimi nacheza Hiari ya moyo tofauti kabisa. Halafu Hiari ya moyo huijui unalazimisha niijue kwa kadiri unavyoona lazima iwe pasipokufuata taratibu na kanuni zake. Cha muhimu baki na Uswezi wako name nibaki na Hiari yangu ya Moyo. Heshimu Imani yangu nami niheshimu ya kwako, Hakimu mkuu ni Mungu.Mimi sizungumzii imani ya KIKATOLIKI nazungumzia UONGO uliopandikizwa vichwani na mioyoni mwa watu. Basi kwa kuwa umetaja KATOLIKI basi nitakusaidia. Yesu Kristo HAKUACHA kanisa Katoliki aliacha kanisa la mitume waliohubiri neno sahihi la Mungu. Roman Empire iliposhamiri na mtawala Constantine ili afaidike kisiasa akasema naye sasa amekuwa Mkristo. Lakini bado alikuwa ni miungu yake akiiabudu. Mojawapo ni mungu JUA. Roman Katoliki ni mchanganyiko wa mambomatatu
Mkuu sina ubaya ila soma historia ya Pope Pius1X mwaka wa1854 aliyeanza hayo mafundisho ya Maria kupaa nk na kuwa ni Co Saviour/Mwokozi pamoja na Yesu.
Utashangaa
Hacha iman za kishamba kasema nan yale matunguli yakaww na mafanikio hacheni izo bhana utumwa ulishaisha kama unamwomba Mungu mwombe izo habar za marozmery hachana nazoRosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
Dogo mbona povu hio ni imani take ww inakuhusu nini?Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Hujui alipenyaje??Mimi naamini kabisa urais wake umetokana na kusali Rozari.Nilikuwa sijapata jibu ni kwa jinsi gani alivyoweza kupenya katika Kamati kuu ya CCM na Baadae Halmashauri kuu ya CCM na kuwapita wababe wa chama.
Imshinde mara ngapi ? Mungu hachezewi mkuu , utende ya shetani halafu umsingizie Mungu ?Hapo Magufuli amekosea sana.Naiheshimu IMANI yake.
Lakini kuhusisha MARIA, ROSARY katika ushindi wake, ni sawa na kusema Mungu hakukusaidia bali MARIA na ROSARY.
Maria alikufa na AKAZIKWA na biblia HAITUAMBII tumwombe Maria.
Na kama Magufuli UTAMSAHAU Mungu na KUCHANGANY MARIA! Mungu na YESU nchi hii itamshinda.
Maana Mungu HADHIHAKIWI!!
Maana pia ni Mungu MWENYE WIVU
MPE MUNGU UTUKUFU!
Duniani masikini wangeshaisha mkuu!!!!!!Rosary ina nguvu kubwa sana ndugu yangu.Ukitaka mambo yako yakunyookee sali Rosary.
SIZONJE Alipitia kwa babu mpyaWanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani singida atujuze.
Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Serehe za maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani singida, na wari mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Serehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kaniasa huko singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha
Point of correction bikira Maria Hakufa Na kuzikwa Bali alipaizwa mbinguni.
Kwa nini huulizi matukio makubwa yakifanyika Dar au Dodoma?Sina maana hiyo. Ninacho takakujua ni kwa nini matukio haya mawili ambayo viongozi wa juu wa serikali walishitiki yafanyikie mkoa mmoja tena kwa kufuatana.
Wahamishe makao ya Tz kuw SingidaKatikati ya nchi hii ni Singida.....
Hakuna cha rozari hapa. Magu hakushinda uchaguzi. Wameulazimisha ushindi kwa kuiba kura. Hililo jambo lisitoke mioyoni mwenu wenye kujitambua.WanaJF, salaamu.
Naomba mwenye kujua kinachoendelea mkoani Singida atujuze. Nimesema hivyo kutokana na mambo mawili ambayo yamejitokeza kwa karibuni kwa kufuatana.
1: Sherehe za Maulid mwaka huu kitaifa zilifanya mkoani Singida, na Waziri mkuu ndiye alikuwa mgeni rasmi.
2. Sherehe za Christmas, siwezi kusema kitaifa, bali Rais alikuwa Singida.
Japo kwa maelezo yake alisema alienda kusali katika kanisa hilo kwani ushindi wake ulitokana na Rosary aliyopewa na mtawa mmoja wa kanisa huko Singida.
Najiuliza hivi kweli hiyo rosary ndiyo iliyompa ushindi au ni watanzania waliompigia kura? Au kuna jambo la siri linaendelea huko?.
Nawasilisha