Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Sijui ndio kuunga mkono juhudi za mama? Sijui ndio utendaji wao wa kazi? Awamu hii ya Rais Samia kuna mabadiliki makubwa nimeyaona ndani ya jeshi la polisi.
Kwa mara ya kwanza tangu nchi imepata uhuru, naona kuna Ma-RPC wengi wanawake kuliko awamu nyingine.
RPC wa Tanga ni mwanamama, RPC wa Singida ni mwanamama, RPC wa Rukwa/Katavi ni mwanamke. Na hapo sijajua kwa mikoa mingine
Je ni awamu inawabeba au mfumo dume umeanza kupigwa chini au ndio utendaji kazi wao umeonekana zaidi awamu hii?
Kwa mtindo huu tutegemee siku moja tutapata IGP wa kike...i have a dream...siku si nyingi