GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
ukiropoka kwa kukiuka sheria utawajibishwa kwa mujibu wa sheria. Na hata kama utaita huo ni ukandamizaji wa haki na uhuru wa maoni utashughulikiwa tu 🐒
Kama kweli alivunja sheria, kwa nini basi kesi yake inasuasua na kupigwa danadana kila mara mahakamani? Na unaposema 'ashughulikiwe', unamaanisha nini hasa? Kumbuka, mara zote mtu mjinga hutegemea nguvu na mabavu kujenga hoja, badala ya kutumia mjadala wa kistaarabu unaotegemea hoja na si vitisho.
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
NRNE haitamwacha mnafiki yeyote. Hii imekuwa mwiba mzito sana.
 
Tatizo la ndumuz ni personalizations

Ngumu kwa mtu mwenye long term vision kuelewa agenda ya ndumuz kwa sasa

Na anapohoji Lazima akutane na ndimi za moto zenye matusi yq asili utadhani mimba zao zilitungwa juu ya miti
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Ukisharudi hijja mambo kama haya ya kuhangaika na mitandao unaachana nayo, ukipost uposti dini
 
"Ni mabadiliko ya kiitikadi"? HAPANA.

"Ni mkakati wa Kisiasa"? HAPANA.

"...kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma"? NDIYO,... pamoja na kwamba umma tayari umebaini ni nini kinachoendelea ndani ya serikali ya Samia Suluhu Hassan; na ndani ya chama, CCM.

CCM na serikali kwa sasa hivi vimeshikiliwa na GENGE la watu wanao fanya kila liwezekanalo Samia Suluhu Hassan aendelee kukaa madarakani ili malengo yao yaendelee kutimia. CCM, kama chama, hakina utashi tena; kama ilivyodhihirika wakati Samia akithibitishwa kuwa mgombea wa chama bila chama kuwa na kauli juu yake.

Hawa akina Fatma, wamekuwa 'coopted' tu, waonyeshe ushirikiano ili malengo muhimu yanayosimamiwa na GENGE na yale yanayowagusa kwa njia moja au nyingine akina Fatma yasivurugike.

Mada unamzungumzia Fatma; kana kwamba ndiye pekee aliye onyesha mabadiliko; lakini mabadiliko tulisha yaona hata kwa wengine ambao Muungano kwao ilikuwa ni kama sumu kali sana!
Ni lini mara ya mwisho ulipomsikia OMO; Mwenyekiti wa ACT-akizungumzia maswala ambayo yalikuwa hayaishi kutoka mdomoni mwake kabla ya kutambua fursa zinazowapa manufaa kutoka kwa Samia kuwa madarakani!

Kwa nini Fatma ategemewe kuwa tofauti na wengine wooote wa upande huo!

Sasa ni muhimu zaidi kwa umma wa waTanzania kutambua kinacho endelea chini ya Samia na GENGE lake. Tuache kujidanganya kuwa hatuelewi kinachotokea.
Umeitafsiri vyema kabisa. Na kwa kadri muda unavyosonga, mambo mengi yanaendelea kujidhihirisha wazi. Hata hivyo, bado Watanganyika wengi wamefungwa na upofu usio na tiba, hawaoni, hawasikii, na hawataki kuelewa.
 
Anachofanya Fatma ndicho anachofanya Zito Kabwe. Wamebadili misimamo yao kis8asa baada ya kuingia "mmoja wao" madarakani. Kiuhalisia JPM na SSH hawana tofauti kubwa kwenye swala la utawala bora na demokrasia.
 
Hali ndo huwa hivi mara tu utowapo maoni tofauti na chadema hata mara Moja tu. HAWA WATU NI MASHETANI!!!

Back to the topic, fatuma itakuwa amegundua Siri kuu ya chadema kumchukia Samia kuwa ni dini tu na ukanda basi na si kitu kingine. Hili linamfanya atafakari mara mbili mbili kabla ya kuropoka tu na kuunga mkono hizi harakati zao na maneno yao ya kipimbi.

Hivi gwajima alikuwa hapa hapa wakati wa magufuli?!!!!!!! Dah, hii chuki ya dini ni kansa kubwa sana.
Unataka kusema kwamba hoja zote za CHADEMA dhidi ya serikali hii zimejikita tu kwenye chuki dhidi ya Samia na dini yake ya Uislamu, na si kingine chochote?
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Shekeli.. Vipande saba vya dhahabu
 
Siku zote usimwamini MZENJI, ukiona yuko bega kwa bega na wewe kuna kitu anakitarget akifanikisha anakuacha. Au akimpata MZENJI mwenzake anakuweka pembeni.

Gwajima alikuwa sahihi kabisa alipozungumzia mambo ya utekaji.

Hata kama ana makandokando mengi kuhusu mambo mengine, kwenye utekaji alikuwa sahihi.

Tatizo ninaloliona mimi ni watu kushindwa ku compartmentalize mambo.

Makandokando ya Gwajima hayaondoi ukweli wa kile alichokisema kuhusu utekaji/utekwaji.

Kuhusu Fatma, kwanza ijulikane kuwa huyo kazaliwa, kakulia, na kulelewa ndani ya hicho chama [CCM/ TANU].

Ni mnufaika wa utawala wa CCM. Hivyo simshangai sana.

Kwa kutumia lugha ya kileo, vijana wanasema she’s not keeping the same energy.

Ni kweli kipindi cha Magufuli, yeye Fatma alikuwa mstari wa mbele sana katika kuupinga huo utawala mpaka akawa mmoja wa mashujaa wa makamanda.

Lakini tokea Samia ashike madaraka, ukosoaji wake umekuwa muted sana.

Hivyo, observation ya watu wanaoona kabadilika, iko sahihi.

Sasa sijui kubadilika kwake huko kunasababishwa na nini hasa.

Ukweli anaujua yeye mwenyewe.

Ila hawa watu ambao ni wanufaika wakubwa wa utawala wa CCM, kama huyo Fatma, Siyo watu wa kuwategemea sana katika harakati dhidi ya CCM.

Mange Kimambi naye namweka kwenye kundi hilo hilo la akina Fatma.
Hakika!
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
demokrasia ina mpa mtu haki kuja na mawazo ayatakayo,muhimu ni kuwa na stahmala ya kuvumilia maoni ya mwenzio
 
Hata siku moja usijeweka imani yako kwa mtu anayeitwa mzenji...
 
Dini na uzanzibar wa wenye madaraka ndivyo vilivyo mkalisha chini kwa sasa, waislam ni wadini sana si unaona kwa sasa masheikh wamekuwa wasemqji hadi wa serikali wanajibu hoja za serikali utadhani wao ndio walengwa , masheikh wananyege awamu hii sijapata kuona
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Mzanzibari
 
Unajua hawa wanawake Samiah Suluhu,Tulia Acksoni,Halima Mdee na Fatma karume wanalipeleka Taifa kubaya kama wanaume tutaendelea kuwa mabwege,machawa,na watu wasiojali mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom