GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ipo hivi waislamu linapokuja itikadi za dini huwa wapo pamoja hata kama Uovu maadamu dini ni moja ndio maana huwezi msikia Zito, Nondo, Fatuma nk wakikosoa uovu tofauti na kama mtawala akiwa wa Imani tofauti na wao kutwa hawalali kutafuta attention, kwa sasa hivi katu huwezi wasikia.
 
Hawa wanabebwa zaidi na dini kuliko uhalisia thus huwezi kuta wa damu moja wakikosoa
 
Chadema inakuaga na tabia Fulani ya kuwapa watu attention .

Nimeona hilo Sana
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Yupo bize, kapata bwana kwa sasa zile hasira za kutotamaniwa na wanaume zimemtoka.
 
Yupo deeply in love hivi sasa, kuna jamaa anamdanganya
 
Kuhusu No Reforms No Election Fatma amesema huo ndio msimamo wake tangu awali aliwaambia ACT takriban miaka kumi iliyopita wasiache kushiriki kwenye uchaguzi.

Gwajima ana controversies nyingi sana na mtu anaweza kuchukua chocjote kutoka kauli zake. Kwa hiyo sioni ulqzima wa Fatma kumuunga mkono.

Kwa nini unafikiri ni lazima Fatma awe na msimamo ulio sawa na wewe?

Fatma ameji contradict wapi?

Aliwahi kuwa supporter wa Gwajima?

Aliwahi kuwa supporter wa No Reforms No Election?
Suala la msingi sio kuwa supporter wa Bishop Gwajima...kinacholeta maswali ni kumshambulia mtu badala ya kuijadili hoja ya uvunjaji wa haki za binadamu on its merits
 
Fatma Karume kaiongelea hoja ya haki za binadamu on its merit, kalaaan lakini kakataa kumfanya Gwajima kama mtu fulani wa maana sana kwenye jambo hili.

Siku hiyo hiyo moja.

Kwani haiwezekani kulaani utekaji halafu kusema Gwajima naye ni msanii tu?

Kaandika hivi Twitter.

"Utekaji 🇹🇿 unaumiza na unatisha. Kinachohuzunisha ni hatusikii UTEKAJI kulaaniwa na Executive au Bunge. WaTZ hatupendi yanatokea.

Lakini Gwajiboy si POSTER BOY ya movement hii!

Kwenye HUZUNI yetu tusimchukuwe Gwajiboy tukamfanya HERO.

He’s not a hero ni OPPORTUNIST."
 
Kiranga nakusoma na kukuelewa vizuri hasa hoja za Watanzania kuhusu uhuru wa maoni na kushiriki.

Gwajima: Ana makando kando mengi kuanzia madhabahuni, jimboni, Bungeni na mitaani. Ni mtata asiye na credibility wala integrity. Hilo halina ubishi. Wakati ndio unampa ''heroism'.

Hoja ya mauaji na utakeji ilipotinga Bungeni Spika aliipiga marufuku. Ukiacha mbunge wa Chadema, wengine 390 na ushee hawakuthubu kusema chochote

Gwajima katoka Bungeni na kuita wanahabari kuzungumzia tatizo linaloikera jamii ndicho kumemfanya awe 'a man of moment''. Mkuu hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Yes ni oppotunist lakini kwa hili aligusa Umma ndio maana Umma umesahau makando kando yake! kwasababu tuna huzuni na ndilo tatizo la wakati huu! kalisemea

Fatma: Ni mtata pia! aliyopigania wakati wa Magufuli alikaa kimya wakati wa Samia. Fatma alihamasisha watu wavae nguo nyeupe kama ishara ya kudai Tume huru ya uchaguzi. Sikumbuki kama anadai leo hii.
Fatma alipigania Katiba mpya, lakini pia tulimuona kwa Mkandala akijua si katiba mpya ni ulaghai! kisa Samia

Sikubaliani na watu wanaotaka sote tuwe na fikra sawa, wala sikubaliani kuwa mitazamo tofauti ni usaliti.
Hata hivyo penye utata pasemwe! Fatma na Gwajima ni watata, haina maana ni wasaliti au ni hovyo, la hasha, ni watata tu!
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Dini na Uzanzibari ndilo tatizo lake. Kumbe Magu angekuwa muislamu na Mzanzibari asingemkosoa
 
Kuna post aliwashutumu chadema kwa udini,kashtuka,kaujua muundo wa wadini,kajiweka kando, kupitia mitandao fitna inageuka,wadini na walioweka misingi hiyo hawatofika kokote
Fatma ni pandikizi la watawala katika upinzani, Mwanaharakati wa kuamini ni Mange pamoja na dini yake kuwa sawa na Bi Tozo lkn kila kukicha anamvua nguo huyo Mama yenu kwa msaada wa January Makamba...
 
Fatma Karume kaiongelea hoja ya haki za binadamu on its merit, kalaaan lakini kakataa kumfanya Gwajima kama mtu fulani wa maana sana kwenye jambo hili.

Siku hiyo hiyo moja.

Kwani haiwezekani kulaani utekaji halafu kusema Gwajima naye ni msanii tu?

Kaandika hivi Twitter.

"Utekaji 🇹🇿 unaumiza na unatisha. Kinachohuzunisha ni hatusikii UTEKAJI kulaaniwa na Executive au Bunge. WaTZ hatupendi yanatokea.

Lakini Gwajiboy si POSTER BOY ya movement hii!

Kwenye HUZUNI yetu tusimchukuwe Gwajiboy tukamfanya HERO.

He’s not a hero ni OPPORTUNIST."
Kwaiyo naye anatuhabarisha kuwa gwaji ni opportunist nia yake tuamini projection yake kuhusu gwaji.
Kwani kuna sifa unahitajika kukidhi vigezo ili uwe na power ya kuwa mtu sahihi wa kukemea uhalifu unaoendelea ktk nchi?
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Fatma ni takataka kama zingine
na kukosa mume kunaleta shida
 
Hali ndo huwa hivi mara tu utowapo maoni tofauti na chadema hata mara Moja tu. HAWA WATU NI MASHETANI!!!

Back to the topic, fatuma itakuwa amegundua Siri kuu ya chadema kumchukia Samia kuwa ni dini tu na ukanda basi na si kitu kingine. Hili linamfanya atafakari mara mbili mbili kabla ya kuropoka tu na kuunga mkono hizi harakati zao na maneno yao ya kipimbi.

Hivi gwajima alikuwa hapa hapa wakati wa magufuli?!!!!!!! Dah, hii chuki ya dini ni kansa kubwa sana.
Ina maana Chadema hawakumchukia Magufuli sababu ni dini sawa?
 
Kiranga nakusoma na kukuelewa vizuri hasa hoja za Watanzania kuhusu uhuru wa maoni na kushiriki.

Gwajima: Ana makando kando mengi kuanzia madhabahuni, jimboni, Bungeni na mitaani. Ni mtata asiye na credibility wala integrity. Hilo halina ubishi. Wakati ndio unampa ''heroism'.

Hoja ya mauaji na utakeji ilipotinga Bungeni Spika aliipiga marufuku. Ukiacha mbunge wa Chadema, wengine 390 na ushee hawakuthubu kusema chochote

Gwajima katoka Bungeni na kuita wanahabari kuzungumzia tatizo linaloikera jamii ndicho kumemfanya awe 'a man of moment''. Mkuu hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Yes ni oppotunist lakini kwa hili aligusa Umma ndio maana Umma umesahau makando kando yake! kwasababu tuna huzuni na ndilo tatizo la wakati huu! kalisemea

Fatma: Ni mtata pia! aliyopigania wakati wa Magufuli alikaa kimya wakati wa Samia. Fatma alihamasisha watu wavae nguo nyeupe kama ishara ya kudai Tume huru ya uchaguzi. Sikumbuki kama anadai leo hii.
Fatma alipigania Katiba mpya, lakini pia tulimuona kwa Mkandala akijua si katiba mpya ni ulaghai! kisa Samia

Sikubaliani na watu wanaotaka sote tuwe na fikra sawa, wala sikubaliani kuwa mitazamo tofauti ni usaliti.
Hata hivyo penye utata pasemwe! Fatma na Gwajima ni watata, haina maana ni wasaliti au ni hovyo, la hasha, ni watata tu!
Gwajima alikuwa sahihi kabisa alipozungumzia mambo ya utekaji.

Hata kama ana makandokando mengi kuhusu mambo mengine, kwenye utekaji alikuwa sahihi.

Tatizo ninaloliona mimi ni watu kushindwa ku compartmentalize mambo.

Makandokando ya Gwajima hayaondoi ukweli wa kile alichokisema kuhusu utekaji/utekwaji.

Kuhusu Fatma, kwanza ijulikane kuwa huyo kazaliwa, kakulia, na kulelewa ndani ya hicho chama [CCM/ TANU].

Ni mnufaika wa utawala wa CCM. Hivyo simshangai sana.

Kwa kutumia lugha ya kileo, vijana wanasema she’s not keeping the same energy.

Ni kweli kipindi cha Magufuli, yeye Fatma alikuwa mstari wa mbele sana katika kuupinga huo utawala mpaka akawa mmoja wa mashujaa wa makamanda.

Lakini tokea Samia ashike madaraka, ukosoaji wake umekuwa muted sana.

Hivyo, observation ya watu wanaoona kabadilika, iko sahihi.

Sasa sijui kubadilika kwake huko kunasababishwa na nini hasa.

Ukweli anaujua yeye mwenyewe.

Ila hawa watu ambao ni wanufaika wakubwa wa utawala wa CCM, kama huyo Fatma, Siyo watu wa kuwategemea sana katika harakati dhidi ya CCM.

Mange Kimambi naye namweka kwenye kundi hilo hilo la akina Fatma.
 
Back
Top Bottom