Kiranga nakusoma na kukuelewa vizuri hasa hoja za Watanzania kuhusu uhuru wa maoni na kushiriki.
Gwajima: Ana makando kando mengi kuanzia madhabahuni, jimboni, Bungeni na mitaani. Ni mtata asiye na credibility wala integrity. Hilo halina ubishi. Wakati ndio unampa ''heroism'.
Hoja ya mauaji na utakeji ilipotinga Bungeni Spika aliipiga marufuku. Ukiacha mbunge wa Chadema, wengine 390 na ushee hawakuthubu kusema chochote
Gwajima katoka Bungeni na kuita wanahabari kuzungumzia tatizo linaloikera jamii ndicho kumemfanya awe 'a man of moment''. Mkuu hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Yes ni oppotunist lakini kwa hili aligusa Umma ndio maana Umma umesahau makando kando yake! kwasababu tuna huzuni na ndilo tatizo la wakati huu! kalisemea
Fatma: Ni mtata pia! aliyopigania wakati wa Magufuli alikaa kimya wakati wa Samia. Fatma alihamasisha watu wavae nguo nyeupe kama ishara ya kudai Tume huru ya uchaguzi. Sikumbuki kama anadai leo hii.
Fatma alipigania Katiba mpya, lakini pia tulimuona kwa Mkandala akijua si katiba mpya ni ulaghai! kisa Samia
Sikubaliani na watu wanaotaka sote tuwe na fikra sawa, wala sikubaliani kuwa mitazamo tofauti ni usaliti.
Hata hivyo penye utata pasemwe! Fatma na Gwajima ni watata, haina maana ni wasaliti au ni hovyo, la hasha, ni watata tu!
Kuna hoja nyingine mahakamani zinakataliwa kujadiliwa kwa sababu ni "argumentative".
Nakubali Fatma ni mtata.Utata wa Fatma unakuja kwa sababu ukitaka kusema hapingi ukandamizaji unakuta anapinga. Nimeweka mpaka tweets zake. Nimemsikiliza Clubhouse akiweka rekodi sawa.
Ukitaka kusema anapinga pia unaona lakini mbona hapingi kama alivyopinga kwa bwana yule? Hawa watu wanaoweka hoja za Uzanzibari wana point au vipi?
Ukitaka kusema lakini mbona hapingi kama alivyopinga kwa bwana yule unajiuliza, kwani lazima apinge kama alivyopinga kwa bwana yule? Vipi kama anaamini kuna mabadiliko fulani ya maana na kupinga sana hakuna maana, kaona hata ikiwa "hataunga juhudi" basi abadili mambo kwa kushawishi kutoka ndani?
Vipi kama kaona uanaharakati uko overrated kaamua kumtazama mola wake zaidi? Ni haki yake, hakuna tutakachomdai kwa kusema awaachie wengine yeye kashafanya sehemu yake. Au anajipanga kuingia katika siasa ana kimya kitakachofuatiwa na mshindo mkuu?
Vipi kama kuna dynamics za kisiwa kidogo zimempoza si kwa sababu yeye ni msaliti, bali kwa sababu ni binadamu ana familia na watu wake wa karibu pia?
Kwangu mimi naona Fatma anasema. Anaisema serikali, anaisema mihimili executive, judiciary, legislature. Anawasema watu. Not so much Samia. Hapa ndipo watu wanapoona shida.
Anapomsema Samia anakuwa circumspect, with uncaharacteristic reverence.
Example is this tweet.
"Samia Suluhu has her advisors. Clearly they have advised her to stop social services for the Maasai of Ngorongoro to force them to move and she’s doing so.
It’s heartbreaking."
Advisors? Really Fatma?
You can't say hamsemi Samia. But she is not as direct as she did for Magufuli.
She is even sympathetic towards Samia.
Saying.
"I think it’s sad times for Samia. People who believed in her feel betrayed by her. She’s lost even her ardent allies.
She’s checkmated herself by isolating real friends in pursuit of power.
I feel sorry for her."
In a Solzhenitsinysque introspection that gives Samia a pass as if nodding to a realization that the thin "line that separates through good and evil cuts through the heart of every human being", Fatma takes a pause. She realizes power corrupts. It is as if she thought the Zanzibari woman was going to be different, perhaps because she is supposed to be cultured, she is not that brute Magufuli after all. But alas, she says, you too Samia? Lord Acton comes to her mind. "Power corrupts and absolute power corrupts absolutely" she muttwrs. Fatma is more disappointed than mad.
But the masses want her to be mad. They did not read Solzhenitsyn. They do not understand nuance.
All they know is she was mad when Magufuli was president. Why not now?
Is it because Samia is a Zanzibari woman?
But what if Fatma is just tired of being mad all the time, she simply does not want to spend her life being mad.
She wants to go to Mecca now. What do they call them, Hajjats?
She is even at a loss of words now, something never seen before.
Do we have a right to demand that she maintain the same speed she had during the Magufuli era?
Isn't that a bit too much?