- Thread starter
- #121
Hahaha! Anakula unga au sio !?Ss utamsikiliza mla unga mkuu?huyo ni wa kupuuzwa
Hahaha! Anakula unga au sio !?Ss utamsikiliza mla unga mkuu?huyo ni wa kupuuzwa
😂😂😂😂Alikuwa teja yule wakati anaishi UK. Baba yake alifunga safari kuhakikisha anapata matibabu ya Rehab ndo akapona.
Dawa za Kulevya haziondokagi kichwani. Kuna muda zinatulia kuna muda zinaibuka tena.
Wanashangaza na kuchosha sana.Ndiyo maana wakati mwingine huwa tukiwa JF tunajitoa ufahamu na kufanya comedy tu.Rafiki umenena vema.
Nchi aiongozwi na harakati..nchi aiendelea kwa harakati za porojo.Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Lakini yeye ndiye chanzo cha kuwakumbatia hawa wabaguzi,pamoja na juhudi zake zoote za kuutetea muungano huko kwao wanamuona ni adui yao no-1.Nyerere alisema wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya
Labda ni religious sensitiveIkumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Tumia akiliLakini yeye ndiye chanzo cha kuwakumbatia hawa wabaguzi,pamoja na juhudi zake zoote za kuutetea muungano huko kwao wanamuona ni adui yao no-1.
Au sio!? Nchi inaongozwa kwa wizi, ufisadi, ujinga, utekaji, uuaji, ufiraji na ubakaji!? Ndiyo uliyofundishwa na wazazi wako !?Nchi aiongozwi na harakati..nchi aiendelea kwa harakati za porojo.
Inawezekana pia!? Lkn mbona huwa anatetetea haki za mashoga !?Labda ni religious sensitive
Hata my sweet wangu Faizafoxy anatetea zao la bangi na hata pombe kwa hoja ya kuiongezea mapato serikaliInawezekana pia!? Lkn mbona huwa anatetetea haki za mashoga !?
Duh mm najuwa ana kaka yake mmoja jina kapuni ndy alikuwa mtumiaji nahs mpaka sahv alafu mtu mzima kdg 😄😂😂😂😂
Nchi inaongozwa na sheria,taraibu,kanuni na uongozi basi.Au sio!? Nchi inaongozwa kwa wizi, ufisadi, ujinga, utekaji, uuaji, ufiraji na ubakaji!? Ndiyo uliyofundishwa na wazazi wako !?
Zipo sababu kuu tatuHivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.
Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.
Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.
Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?
Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Na huo ndio ukweli mkavuZipo sababu kuu tatu
Mosi Dini.
Pili Uzanzibari
Tatu Maslahi ya baadae.
Sababu mbili yaani ya kwanza na tatu Zitto yumo.
Mosi na pili ndiyo tabia ake halisiZipo sababu kuu tatu
Mosi Dini.
Pili Uzanzibari
Tatu Maslahi ya baadae.
Sababu mbili yaani ya kwanza na tatu Zitto yumo.
It's not numbers za wapiga kura. Ni numbers za members of public ambao wako tayari kususia uchaguzi. Even within Chadema, people are not happy with kususia uchaguzi. And you can just see that from public mood. Chadema wameshakosea mahesabu, asiyafutwe mchawi.Fatma amejuaje kuhusu hizo numbers, wakati hata daftari la wapiga kura idadi ni ya kupika? Hadi sasa sijasikia waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi huu ni wangapi. Lakini najua walisema waliojiandikisha uchaguzi wa SM za mitaa ni 30m+, jambo ambalo halikuwa kweli hata kidogo.