GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
Nyerere alisema wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya
 
Kuhusu No Reforms No Election Fatma amesema huo ndio msimamo wake tangu awali aliwaambia ACT takriban miaka kumi iliyopita wasiache kushiriki kwenye uchaguzi.

Gwajima ana controversies nyingi sana na mtu anaweza kuchukua chochote kutoka kauli zake. Kwa hiyo sioni ulazima wa Fatma kumuunga mkono.

Kwa nini unafikiri ni lazima Fatma awe na msimamo ulio sawa na wewe?

Fatma ameji contradict wapi?

Aliwahi kuwa supporter wa Gwajima?

Aliwahi kuwa supporter wa No Reforms No Election?
 
Lakini mbona inaonekana kama yeye mwenyewe ndiye anayetoa taswira ya udini kwa namna alivyojenga hoja zake dhidi ya shutuma alizozitoa Gwajima? Badala ya kujibu kwa msingi wa hoja au ushahidi wa kimantiki, hoja zake zinaonekana kujengwa juu ya misimamo inayogusa hisia za kidini.
Tatizo movement zenu zote msingi wake udini, mnajifanya hamjui ila mnajua, sasa upande wa pili washashtuka, wanaangalia nia zenu nyuma ya kila move yenu
 
Tatizo movement zenu zote msingi wake udini,mnajifanya hamjui ila mnajua,sasa upande wa pili washashtuka,wanaangalia nia zenu nyuma ya kila move yenu
Pia Watanzania wengine wana tabia fulani ya projection.

Projection ni nini? Ni tabia fulani ya kumuwekea mtu baki matarajio yako.

Yani mtu hujakaa naye, hujamuuliza anataka nini, lakini unakuwa unalazimisha tu kuwa huyu lazima atakuwa anafikiri kama mimi.

Siku akipata nafasi ya kufunguka na kukueleza kwamba yeye hafikirii kama wewe, unaumia, unamtukana, unamsema huyu msaliti.

Msaliti kivipi? Kwani mlikubaliana mfikirie sawa?

Nimeliona hili sana Peter Madeleka alivyoondoka CHADEMA na kwenda ACT. Kuna watu wamemsema kama vile walikubaliana naye afe mwanachama wa CHADEMA.

Fatma Karume kasema yeye msimamo wake siku zote ni kushiriki kwenye uchaguzi. Aliishauri ACT takriban miaka 10 iliyopita kushiriki kwenye uchaguzi. Hiyo ilikuwa kabla ya No Reforms No Election. Na hata leo anaendelea na msimamo wake huo huo.

Sasa kuna watu wasiomjua wanasema siku hizi kabadilika, wakati yeye anasema huu ndio msimamo wake na kashautoa takriban miaka 10 iliyopita huko.

Watu wengine wanapenda sana kulazimisha kila mtu afikirie kama wao.
 
Chadema Wana shida sana,visirani,chuki.. yaani wao wanataka kila mtu akubaliane nao
 
Tatizo movement zenu zote msingi wake udini,mnajifanya hamjui ila mnajua,sasa upande wa pili washashtuka,wanaangalia nia zenu nyuma ya kila move yenu
Ni harakati gani tena hizo mnazozizungumza, na udini upi hasa mnaodai upo? Kinachodaiwa hapa si zaidi ya haki ya msingi na demokrasia ya kweli, inayothamini utu, heshima, na hadhi ya kila Mtanzania, bila ubaguzi wala upendeleo.
 
Kuhusu No Reforms No Election Fatma amesema huo ndio msimamo wake tangu awali aliwaambia ACT takriban miaka kumi iliyopita wasiache kushiriki kwenye uchaguzi.

Gwajima ana controversies nyingi sana na mtu anaweza kuchukua chocjote kutoka kauli zake. Kwa hiyo sioni ulqzima wa Fatma kumuunga mkono.

Kwa nini unafikiri ni lazima Fatma awe na msimamo ulio sawa na wewe?

Fatma ameji contradict wapi?

Aliwahi kuwa supporter wa Gwajima?

Aliwahi kuwa supporter wa No Reforms No Election?
Hapa tunachojaribu kutazama kwa msingi (principally) ni nini hasa kinachopiganiwa na watu hawa wote, hasa tukizingatia kuwa wako chini ya utawala ambao unaonekana kuwa na vinasaba vinavyofanana kabisa na ule utawala alioupinga kwa nguvu zake zote.
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
ukiropoka kwa kukiuka sheria utawajibishwa kwa mujibu wa sheria. Na hata kama utaita huo ni ukandamizaji wa haki na uhuru wa maoni utashughulikiwa tu 🐒
 
Hapa tunachojaribu kutazama kwa msingi (principally) ni nini hasa kinachopiganiwa na watu hawa wote, hasa tukizingatia kuwa wako chini ya utawala ambao unaonekana kuwa na vinasaba vinavyofanana kabisa na ule utawala alioupinga kwa nguvu zake zote.
Sawa.

Lakini kwenye masuala ya No Reforms No Election na Gwajima Fatma Karume hajaji contradict.

Anasema alikuwa anawashauri ACT washiriki uchaguzi takriban miaka 10 iliyopita, na msimamo wake ni ule ule.

Kama ni Samia na utawala wake Fatma mbona kamsema sana. Kuna wakati alikuwa Clubhouse mwanamke mmoja akasema kuwa huu uongozi mbovu wa Samia utatufanya wanawake wote tuonekane hatuwezi kuongoza. Fatma akawahi kusema wazi kuwa wanawake wa Tanzania hawawakilishwi na Samia, Samia anaharibu kama Samia hiyo isichukuliwe kama reflection ya uwezo mdogo wa wanawake wa Tanzania. Alikuwa anawapiga mawe CCM , mahakama, Attorney General, Chief Justice, mpaka Samia.

Kuhusu Gwajima kuna watu wengi wanamuona Gwajima msanii tu na ana controversial issues nyingi tu hata kwenye kupinga utekaji bado anatoa kauli kama za CCM apologist, kwa hiyo mimi simshangai Fatma kukataa kumfanya Gwajima mtu fulani mwanamapinduzi.

Main point, Fatma hajaji contradict.

Hajawahi kuwa mshabiki wa No Reforms No Election, in fact amekuwa akishauri vyama vishiriki chaguzi mara zote going back to takriban ten years ago with ACT.

Hajawahi kuwa mshabiki wa Gwajima.

Sasa kwa nini mnasema Fatma kabadilika? Kabadilika nini?

Hamuoni kwamba nyie ndiye mnamuwekea Fatma projections zenu? Hamuoni kuwa mnalazinisha awe na mawazo kama nyie kwenye hoja ambazo hamjawahi kukubaliana naye?
 
Wakati huo Watanganyika wamelala usingizi wa pono, hawashtuki, hawahoji, hawashtuki kwa uhalisia wa yanayotendeka mbele ya macho yao
Na hapo sera ya kuwagawa watu kwa misingi tofauti tofauti inaendelea
 
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
"Ni mabadiliko ya kiitikadi"? HAPANA.

"Ni mkakati wa Kisiasa"? HAPANA.

"...kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma"? NDIYO,... pamoja na kwamba umma tayari umebaini ni nini kinachoendelea ndani ya serikali ya Samia Suluhu Hassan; na ndani ya chama, CCM.

CCM na serikali kwa sasa hivi vimeshikiliwa na GENGE la watu wanao fanya kila liwezekanalo Samia Suluhu Hassan aendelee kukaa madarakani ili malengo yao yaendelee kutimia. CCM, kama chama, hakina utashi tena; kama ilivyodhihirika wakati Samia akithibitishwa kuwa mgombea wa chama bila chama kuwa na kauli juu yake.

Hawa akina Fatma, wamekuwa 'coopted' tu, waonyeshe ushirikiano ili malengo muhimu yanayosimamiwa na GENGE na yale yanayowagusa kwa njia moja au nyingine akina Fatma yasivurugike.

Mada unamzungumzia Fatma; kana kwamba ndiye pekee aliye onyesha mabadiliko; lakini mabadiliko tulisha yaona hata kwa wengine ambao Muungano kwao ilikuwa ni kama sumu kali sana!
Ni lini mara ya mwisho ulipomsikia OMO; Mwenyekiti wa ACT-akizungumzia maswala ambayo yalikuwa hayaishi kutoka mdomoni mwake kabla ya kutambua fursa zinazowapa manufaa kutoka kwa Samia kuwa madarakani!

Kwa nini Fatma ategemewe kuwa tofauti na wengine wooote wa upande huo!

Sasa ni muhimu zaidi kwa umma wa waTanzania kutambua kinacho endelea chini ya Samia na GENGE lake. Tuache kujidanganya kuwa hatuelewi kinachotokea.
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
1. Udini
2. Uzanzibar
3. Jenda
 
NO REFORMS,NO ELECTION.
 
Anezaliwa katika ukoo ambayo kijani,ameishi naisha ya kijani unategemea nini?.

Enzi za JPM aling'aka kwa sababu Jiwe aliwabana sana hadi viongozi wenzake ila now yupo Mznzbar mqenzake mambo safi navulaji umerudi.
 
Hivi karibuni, Fatma Karume ameonekana kubadili mwelekeo wa mijadala yake ya kisiasa kwa namna ambayo imeibua maswali miongoni mwa watanzania, hasa wale wanaoamini katika harakati za mageuzi ya kweli.

Mwanzo, alivamia vikali kauli za Askofu Gwajima aliyekuwa anapinga matukio ya utekaji na ukiukwaji wa haki unaodaiwa kufanywa na vyombo vya dola, akimtuhumu kuwa anatafuta "attention" ya kisiasa, licha ya kwamba hoja za Gwajima zilikuwa na uzito wa kulinda utu na uhuru wa raia.

Sasa, ameibukia tena kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), akizibeza juhudi za CHADEMA na sera yao ya "No Reforms, No Elections", akikariri kuwa kusitisha uchaguzi ni kosa la jinai. Kauli hii imechukuliwa na wengi kama kejeli isiyoakisi hali halisi ya mazingira ya kisiasa nchini, ambapo haki za msingi, uhuru wa kisiasa na uhuru wa kutoa maoni vinaendelea kukandamizwa.

Cha kushangaza zaidi, kauli hizi za Fatma Karume zinatolewa wakati ambapo Tundu Lissu, mmoja wa viongozi wa upinzani na mwanasheria mwenzake, yuko rumande akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, ambayo kisheria adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Hali hii imezidi kuzua maswali: je, Fatma Karume bado yupo upande wa watetezi wa haki, au amebadili msimamo kwa sababu ambazo bado hazijafahamika wazi?

Ikumbukwe kuwa katika utawala wa Hayati John Magufuli, Fatma Karume alijitokeza kuwa mmoja wa sauti thabiti zilizokuwa zikikemea dhuluma, ukandamizaji, na matumizi mabaya ya madaraka. Lakini katika utawala wa sasa, ambao nao umeonesha mwelekeo wa kukiuka misingi ya demokrasia, sauti yake imekuwa ya mashaka, wakati mwingine ikisikika kama ya kukubaliabiana na mfumo badala ya kuukosoa.
Je, ni mabadiliko ya kiitikadi? Ni mkakati wa kisiasa? Au kuna mambo ya ndani zaidi ambayo bado hayajawekwa wazi kwa umma? Kwa vyovyote vile, hatua na kauli za Fatma Karume zinahitaji tafakari, hasa kwa wale wanaoamini katika dhana ya "principled activism" yaani, kupigania haki bila kujali nani yuko madarakani.
We unaweza kupinga ndugu yako kwa kuwasaidia walio nje ya familia yako. Huo utakuwa uzwazwa.
 
Mtu aliyeponea Rehab baada ya kuwa na uraibu wa dawa za kulevya ni wa kumwamini?

Yule ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu. Wanaomsikiliza nao wana shida ya akili.
Hali ndo huwa hivi mara tu utowapo maoni tofauti na chadema hata mara Moja tu. HAWA WATU NI MASHETANI!!!

Back to the topic, fatuma itakuwa amegundua Siri kuu ya chadema kumchukia Samia kuwa ni dini tu na ukanda basi na si kitu kingine. Hili linamfanya atafakari mara mbili mbili kabla ya kuropoka tu na kuunga mkono hizi harakati zao na maneno yao ya kipimbi.

Hivi gwajima alikuwa hapa hapa wakati wa magufuli?!!!!!!! Dah, hii chuki ya dini ni kansa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom