Ana matatizo ya akili au anawaumbua wanafiki?Rich yule ana matatizo ya akili sio mara ya kwanza kufanya ivyo live zake nyingi ndio mamb yake alimleta alslay live bila yeye kujijua
Kamuulize.Bro coca acha hizo bwana
Ujafika kwa waigizaji wa kombolelaUkisikiliza ile video inaonyesha Salehe ugumu wa maisha unamfanya anatumbukia pabaya.
Mtu akimuita ainame kwa exchange ya pesa hawezi kukataa na mpaka muda huu simu yake itakua ipo busy kwa wadau.
Tembelea soko la mabibo utamkuta pale anabeba boksi za nyanya.Sawa siku nikija dar itabidi unitembeze mkuu
Wanapakuana? Au wanapakuliwa?Ujafika kwa waigizaji wa kombolela
Yule nasikia kamuharibu cholo na kimbembe sijajua kwa abilahi sasaMwandishi wa tamthilia ya Kombolela anaitwa Abdul writer.
Mkipata muda tembeleeni page yake ya Insta mrudi hapa jukwani kuleta feedback
Saleh kadharilika vibayaAna matatizo ya akili au anawaumbua wanafiki?
Ndo vizuri kuwaweka wazi, ili Waja wawajue vyedii. Lol.
Wanaume straight uchwara wa Bongo, wengi njaa kali mnoo. Wanawafata GAYS ili wapate kitongaa.
πππππ
Jamani Dully amuharibu Nassor au kimbembe kwa lipi? Labda hata Ahmad ndo ajiweke hapo, sio kwa hawa wasela mavi hovyoo, km ni kweli bas hata wanafunzi wake huko shuleni anawasumbua, dooh.Yule nasikia kamuharibu cholo na kimbembe sijajua kwa abilahi sasa
Ndio vizuri, waumbuke hivyo, kutwa kujifanya Wanaume haswaa, kumbe apeche alolo..Saleh kadharilika vibaya
Ambaye hajawahi kushika pesa nyingi kwa mkupuo hawezi kukuelewa hapa.Mkuu hela ni nyingi sana ukiwa hujazishika. Ukizikamata zinakuwa kidogo. Mbaya zaidi kwa sisi tuliotoka familia fukara tunakuwa na uwezo mdogo wa kuhimili kushika hela nyingi kwa mara moja... yaani kunakuwa na wenge la hatari. Mara nyingi tunaishia kuzipoteza au kubakiza kidogo zinazoendana na akili zetu. Mara ya kwanza mimi kupata hela nyingi kwa mara moja ilikuwa mwaka 2006. Ilikuwa Tsh 117,600/= taslimu. Yaani nilitoka NMB Clocktower Arusha kwa spidi kali mwendo wa ngiri hadi Jogoo House stand kuu na kuagiza kuku & soda. Hadi narudi home nilikuwa na kama 40k tu.
Hiyo watu hawataki kukubali, pesa unayoipata kwa ghafla ina utumwa sana na inaleta majuto kuliko ile pesa unayoipata kidogo kidogo mpaka inakuwa nyingi..Inatokea mkuu. Mtoto wa maskini kupata 500m kwa mara moja bila kuwa na udhibiti lazima azipoteze. Ile hela angeshinda mtoto wa Bakresa hadi muda huu ingeshazaa mara 10.
Kuna watu watabisha lakini Mwisho Mwampamba alivyofilisika alikuwa anauza matikiti mwenge. Dada yangu hakuamini nilimpeleka pale.Max alimtafuna? Tatizo watu wengi huwa hawakubali ukweli kuhusu maisha yao. Nyakati mbaya zikifika wanajikataa. Kama ni nyakati unaona kabisa hakuna jinsi beba hata zege mambo yaende badala ya kutaka ku-maintain status. Idris ni aina ya watu waliokataa kabisa kukubali uhalisia wa maisha yao.
Uko sahihi mkuu. Binafsi najitahidi sana wanangu wasiwe malimbukeni wa hela kama mimi.Hiyo watu hawataki kukubali, pesa unayoipata kwa ghafla ina utumwa sana na inaleta majuto kuliko ile pesa unayoipata kidogo kidogo mpaka inakuwa nyingi..
Hiyo ni saikolojia ya pesa ambayo watu wengi hawaizungumzii na hawaijui.
500M uliyoipata ndani ya mwaka mzima kidigo kidoho ni bora kuliko 500M uliyoipata ndani ya wiki moja.
Kwa sababu hii uliyoipata kwa muda mrefu inaweza kuendelea kudumu na utakuwa umeshaizoea akilini.
Ila kutoka 0 - 500M hapo kati umevuka stepu nyingi sana na hizo step lazima urudi uzipige tena kama utataka kufika hapo.
Masikini akishika 500M anakosa kabisa interest ya kuwekeza kwenye biashara itakayompa faida ya laki 3 kwa mwezi kwa sababu anaona ndogo yeye ana 500M alafu ahangaike na laki 3?
Mambo ni mengi sana mtu atafanya namna atafuja, atagawa hela, ataenjoy na watoto wakali, swhsmu za starehe na pengine hata gari ya maana asinunue, asijenge, yeye atahangaika na starehe..
Kwa sababu watoto wengi zamani tulipewa pesa pale tunapotaka kufanya starehe kama kununua pipi, kwenda disko, kununua juisi, magemu n. K, so the same mentality inatutafuna mpaka ukubwani..
Ni hatari sana mku, umenigusa sana na ile comment yako maana nina mengi ya kusema kuhusu hii mada, ila naomba niishie hapa..
πππWalio ingia kwa ridhaa na matakwa yao, mbna mambo ni mswano tyuuu.
Nweiiiiii!! Life tamuu.
ππππππ
KiajeUjafika kwa waigizaji wa kombolela
Bwana yupi tena? Huyu si alikua na jamaa yule wa Nanah Dolls? Na walishaa achana kwani, yule jamaa yuko na skaveller wa Uganda, tena kampeleka kuishi Canada.
Kwani lini Dimpoz aliachana na Gavana Joh??
Nacheka kama mazuriKuoa sio hoja,mashoga mengi huoa kuficha ushoga,ila bado yanasuguliwa vinyeo vyao,yani inasikitisha sana
Pambe tyuuu πBraza nimeletewa mafaili na majina mapya π