Nini kimemkuta Idris Sultan?

Nini kimemkuta Idris Sultan?

Huna hata unalolijua, GSM ni rafiki wa karibu na JOH, na dimpoz pale Yanga yuko kwa shemeji ake, Joh hajawahi achana na Dimpoz.

GSM anadate na msanii wa movie, Sallah yuko na P, muhandisi yuko na A.

Em tulia upewe files.
Aiseee.... Nifungulie Hilo file la mwandisi
 
Nyie watu ni waongo, GSM hajawahi date na Dimpoz, hata ile ya kuibia, hadi wee shost hujui hili? Kwamba Dimpoz kuwq kwa GSM ni kwa minajiri ipii?

Unakwamaa wapii best??

Afu Abdul gani? Huyu wa kumpita shwaa traffic man? Aaaah hapanaaa
Coca embu rekebisha hapo kauli umekosea
 
Juzi niliona yupo mgahawani na kijana mmoja wa zahanati ya kijiji, halafu akaandika dinner date
Niliona redflag

Kwahiyo huko mjini wasanii rundo ni upinde? Nimechoka kusikia hadi marioo
Aisee 😃😃
 
Duh! Kumbe mwana nae miyeyusho sana
Shida taarifa zako wanao toa ndugu zako au rafiki zako wa karibu wana leta mtandaoni wapo wengi hii juzi suti bega alivyo anza wengine wakatoa chart zao wakitongozwa shida ni wafanya biashara wakubwa na wana majina umaarufu una gharama zake
 
Bunge la east pale mpe picha tu ya mtu mambo yako yote una yakuta pale telegram ndio wana kuwa huru zaidi ushahidi juu siasa michezo kila sehemu wana gusa
😂😂😂😂😂 ukute na baadhi ya ubuyu nishawahi mpa.
Kwani GAYS siku hizi ni ajabu? Mbna kawaida sana.

Nilistuka staa wa Taifa Stars, kumtongoza kidampa fulani hivi, na text had voice notes niliona na kusikia.

Nilibaki hoiii, Dunia imefunguliwa, watu wanakua wanachotaka.
 
Huna hata unalolijua, GSM ni rafiki wa karibu na JOH, na dimpoz pale Yanga yuko kwa shemeji ake, Joh hajawahi achana na Dimpoz.

GSM anadate na msanii wa movie, Sallah yuko na P, muhandisi yuko na A.

Em tulia upewe files.
Hivi na mnaona sifa kabisa kufanya ushoga hadi mnafatilia nani anatoka na nani kama vile ni kitu cha kawaida?
 
Shida taarifa zako wanao toa ndugu zako au rafiki zako wa karibu wana leta mtandaoni wapo wengi hii juzi suti bega alivyo anza wengine wakatoa chart zao wakitongozwa shida ni wafanya biashara wakubwa na wana majina umaarufu una gharama zake
Exactly 💯 mkuu
 
Sutibega mwenyewe alivyo vile mbna km nae ni Mboga? Juma ujanja wote ule kukunjwa 7 na yule kidampaa?

Walikua wanakoboana labda, 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom