Nini kimemkuta Idris Sultan?

Nini kimemkuta Idris Sultan?

Aaaaaaaaaaah!!

Kuniumaaa? Kivipii? Kwamba kuwa ktk Gaysim ndo niumiee? Sasa si natoka tyuu, if hiko kitu sikitaki au sikipendi.

Magumu yapi hayo Duniani? Em fafanua, pengine kwako wee ni magumu na sio kwangu mie...

Kuna kujikaza kwenye Gays? Tena km hapa Bongo, kelele kwa keyboard, huko uraiani watu wako lelelee na hawajari wala nn?

Au Unasemea Trauma? Km ni hivyo bas hii ni kwa wale waliongia pasipo wao kutaka au kupenda, ila waliingia kwa kulazimishwa, au factor ingine na hawakua na namna na badoo wanakua na chance ya kutoka huko ikiwa wana dhamira ya kweli...

Walio ingia kwa ridhaa na matakwa yao, mbna mambo ni mswano tyuuu.

Nweiiiiii!! Life tamuu.
😂😂😂😂😂😂
Nilikuaga siamini kama unabomolewa mtaro kumbe ni kweli????? Hiiiiiii
 
Wee unanitaka ila unavunga, em tangaza nia, nione km unafaa kupitishwa au laah..
Kwanini ujibane Bane, Fungukaaaaa!!
😂😂😂😂😂
Hivi hua hauliwi chini ya shingapi nijikokote nije nione mambo hapo
 
Wee unanitaka ila unavunga, em tangaza nia, nione km unafaa kupitishwa au laah..
Kwanini ujibane Bane, Fungukaaaaa!!
😂😂😂😂😂
Sikutaki ntakuchinjia kisogoni ukiingia kwenye 18
 
Ukisikiliza ile video inaonyesha Salehe ugumu wa maisha unamfanya anatumbukia pabaya.
Mtu akimuita ainame kwa exchange ya pesa hawezi kukataa na mpaka muda huu simu yake itakua ipo busy kwa wadau.
Aisee 😃😃
 
Back
Top Bottom