Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,922
- 183,340
Kwani na wewe unapenda papuchi?Anapaswa kupenda dyudyu kama ambavyo sisi tunapaswa kupenda papuchi!
Kwani na wewe unapenda papuchi?Anapaswa kupenda dyudyu kama ambavyo sisi tunapaswa kupenda papuchi!
Sio mtoto kama wao walioana kwann na ww usiolewe au kuoaHuwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbele
Saaaana!Kwani na wewe unapenda papuchi?
Ulivyo bandidu sasa sijui huko kunako faraghani ndio inakuwaje[emoji134] [emoji134] [emoji134]Saaaana!
Sasa jamani ndoa ni yako,starehe unaenda kupata wewe huko ndoani,kwanini uwape shida watu watoe mahel yao wakupe wewe!!kiruuuu mi upuuzi wa michango ya harusi,marafiki zangu wamenitoa kabisa!!Misiba napewa taarifa nachangia,ila harusi wanaundaga magrupu yao ya kujichangisha mimi hawanihesabu kabisa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Michango ya harusi hawatoi siku hizi, ahadi nyiingi.
Huko hamna ubandidu....kila mtu bebiiiiUlivyo bandidu sasa sijui huko kunako faraghani ndio inakuwaje[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Au ndio rara nikurenge!![emoji85] [emoji85]
Maisha yame change Bro..! This generation aaahh it sucks.? Wawezaa ona umepata kumbe umepatikanaSio mtoto kama wao walioana kwann na ww usiolewe au kuoa
I can be the one you'v been waitin....Huenda mimi ndiye.Umri naotamani Mungu anisaidie niolewe bado haujafka... Afu ctak kufanya fashion i want the man i wll spend the rest of my life with to be my everything na cyo nije nijute buree... So bado nipo nakula ujana
..kwa Mars hiyo siyo ishu labda venusMars..
...kasoro Mimi tuMimi nina file na historia ya mapenzi ya kila mmoja hapa JF![emoji1]
huwa wanakuja wamechelewa sana mkuu huku umri ukiwa ushatupa mkono.ndio nipo sahihi ndio maana nataka mtu sahihi sio kuondoka tu na kila mtu