Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,187
- 24,552
Ona sasa unataka umzalishe tu awe singo maza halafu muanze kusema singo maza Mara hivi Mara vileMmoja wapo ni Mimi naogopa mno maisha ya ndoa japo c vyema kuchukulia ndoa nyingne kama case study bnafc nayaogopa sana napenda nmzalishe tu mtu nimlee akiwa kwake na Mimi nikiwa kwangu basi