Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

kuna waliokataa kuoa manake ni mashabiki sugu wa nyeto...
 
Umri naotamani Mungu anisaidie niolewe bado haujafka... Afu ctak kufanya fashion i want the man i wll spend the rest of my life with to be my everything na cyo nije nijute buree... So bado nipo nakula ujana
Endelea kula ila chunga xn ucje ukaliwa
 
mi naona vululuvululu tu mixer uchumi na mtu wa kuoa...maana kuoa si kitu cha mchezo mchezo tu
 
Mahari kubwa
complication za mahusiano mpaka ndoa ni nyingi
makucha yanapofunguka kabla ya ndoa unafanya maamuzi magumu mapema
Cost of living sasa ni kuwa
taste and preference zinatofautiana
 
Kiwatengu habari ya siku nyingi mkuu, hilo swali umeuliza kirahisi lakini ni swali linalowashinda wengine sana, wengi watasema uchumi, ooh sijapata mwenzi sahihi huku ana boyfriend/ girlfriend mwingine atakuambia sijapata mwandani huku kuna mwanamke huwa anakuja kulala kwake na kufanya shughuli zote za ndani kama make hapa unaweza vurugwa, wengi tunaogopa Maisha ya ndoa kutokana na tunayoyaona kwa wengine au kusimuliwa. Wengine ujana anaona akioa/kuolewa kuna mambo ambayo ameyazoea atayakosa au atabanwa hapa utapewa majibu mepesi tu ila ukweli ndio huo
 
Kanisa imeharibu Binti niliyetaka kuoa. Yaani, Muda wote yeye church tu.

Binafsi sina dini yoyote hapa duniani wala cha imani ya dini za kigeni.
Kanisa haliwezi kumharibu binti sema hamkuendana
 
Mabadiliko ya hali ya nchi, sayansi na tecknolojia vinaenda mbio kuliko miguu na milango yangu ya fahamu. Haya ndiyo yamenifanya nisioe adi sasa
 
Kanisa haliwezi kumharibu binti sema hamkuendana

Acha upoyoyo na porojo.
Unafikilia nioe mtu anaelala church, home hadi kwao hafanyi kazi ofisini ataka aache kazi aende akae church then, wewe unafanya porojo!?
 
Any way,

Majibu yangu yote niliyoweka hapo nilikuwa naota.

Maana Mimi kwa sasa ni Babu nina hadi wajukuu 10.

Daaaah, hizi ndoto mbaya sana za kuota huku unaandika kumbe tayari umeisha comment and posted kitu kisichohusika.

Plz, futa tu huo uzi ulioni-quote maana naota.
 
Kiwatengu habari ya siku nyingi mkuu, hilo swali umeuliza kirahisi lakini ni swali linalowashinda wengine sana, wengi watasema uchumi, ooh sijapata mwenzi sahihi huku ana boyfriend/ girlfriend mwingine atakuambia sijapata mwandani huku kuna mwanamke huwa anakuja kulala kwake na kufanya shughuli zote za ndani kama make hapa unaweza vurugwa, wengi tunaogopa Maisha ya ndoa kutokana na tunayoyaona kwa wengine au kusimuliwa. Wengine ujana anaona akioa/kuolewa kuna mambo ambayo ameyazoea atayakosa au atabanwa hapa utapewa majibu mepesi tu ila ukweli ndio huo
Mmoja wapo ni Mimi naogopa mno maisha ya ndoa japo c vyema kuchukulia ndoa nyingne kama case study bnafc nayaogopa sana napenda nmzalishe tu mtu nimlee akiwa kwake na Mimi nikiwa kwangu basi
 
Back
Top Bottom