afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
Hahahaha vunja mbavu zangu nikushtaki unilipe fidia...umetishaMie kwa sababu mume wa mtu mtamu kwa hiyo sioni sababu ya kuolewa![]()
Hahahaha vunja mbavu zangu nikushtaki unilipe fidia...umetishaMie kwa sababu mume wa mtu mtamu kwa hiyo sioni sababu ya kuolewa![]()
Wazazi wanataka vyote: ndoa na mjukuu. Ikitokea ndoa imeshindikana basi mjukuu hata kama siyo rasmi. Kumbuka wazazi wanapendezwa kijana wao kuoa au binti kuolewa kwasababu inaleta heshima kwenye familia.Huwa Napata ukakasi sana ninapoona hilo swali hapo juu..! Hivi wazazi huwa wanataka Mjukuu ama Mtoto wao Aoe.? Yaani kipi cha muhimu Mtoto ama Ndoa.! Seriously mm naona kuwa na mtoto na wazazi wangu kuitwa Gran (Mom&Papa) ndo kina umuhmu sana kuoa mmhh may be mawazo yabadlike huko mbele
sasa huoni kama unazini?Mtoto anapatikana kwa mwanamke kupokea mbegu kutoka kwa mwanaume wakati wa tendo la ngono
ni kweli kuzini ilaishu ilikuwa jinsi ya kupata mtotosasa huoni kama unazini?
Wacha we!! Malengo yapi hayo?Lengo la ndoa ni kujenga familia! Ila siku hizi,kuna malengo mapya yamebuniwa na Mabibi Harusi...........
Kwani vibamia ndoa hatuoi jamani,acha kutuoneaKibamia
Siyo lazimaKama unahusika,
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa.
Hiyo sio sababu!!! Jitose tuKibamia
Nipo aiseemtu sahihi hajapatikana
Hiyo sio sababu!!! Jitose tu
Mimi mpaka nikufanyie interview!!! Sikushahuri kabisaNijitose kwako...
Kwann hutak nipate mambo mazuri?!Mimi mpaka nikufanyie interview!!! Sikushahuri kabisa
hahahahhaha we weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNipo aisee
Nipohahahahhaha we weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee