ney kaaya
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 447
- 354
Haha haha daahMi sina lingine isipokuwa kumsubiria Heaven Sent
😀😀😀😀😀😀😀😀Nahisi ubavu wangu utakua ulipikiwa supu maana hata siuoni![]()
Sioni faida ya kuoa sababu kwnza PAPUCHI nazipata kwa urahisi mno...pili wake za watu nawatafuna sana tu..tatu hata hao wanaume na wanawake waliopo KWENYE ndoa kutwa tunapishana nao GUEST HOUSE wakiwa na wapenzi ambao sio wake ZAO au waume ZAO...kwahyo sioni faida ya kuwa na mke wakati PAPUCHI naipata ....na ukioa unawatunzia WATUKama unahusika,
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa.
Utabaki hapo kijana. Oa uanzishe familia acha kuiga mambo ambayo huna uhakika naoSioni faida ya kuoa sababu kwnza PAPUCHI nazipata kwa urahisi mno...pili wake za watu nawatafuna sana tu..tatu hata hao wanaume na wanawake waliopo KWENYE ndoa kutwa tunapishana nao GUEST HOUSE wakiwa na wapenzi ambao sio wake ZAO au waume ZAO...kwahyo sioni faida ya kuwa na mke wakati PAPUCHI naipata ....na ukioa unawatunzia WATU

Mimi ushahidi wangu ni kama ushahidi wa BUBU au MTOTO MDOGO....huwa hata mahakamani hauna SHAKA...Mimi Nina watoto 3 na wote naishi nao mwenyewe... Ila sioni faida ya kuoa...ukitaka kuthibitisha hilo....siku chukuwa simu wa MKEO na wewe MPE simu yako...mbadilishane kama siku tatu..kama nyumba haijageuka UWANJA WA FUJO.....mke anagegedwa na wewe unagegeda nje...sasa faida ya kuoa nn?au upate mwenzio wa kusaidiana kufukuza mbu usiku?au unaogopa KULALA peke yako?ndoa za Leo nyingi watu hawajuwi kwann wanaoa au wanaolewa....Utabaki hapo kijana. Oa uanzishe familia acha kuiga mambo ambayo huna uhakika nao![]()
![]()
mtu sahihi hajapatikana
sijui hata ngoja niGOOGLE kwanzaKama unahusika,
Ni kipi hasa kilicho/kinachokuzuia usioe au usiolewe mpaka sasa.
lina tatizo gani jina hilo la pili?JINA LAPILI PIA NITATIZO BADILISHA
lina tatizo gani jina hilo la pili?
Bado unasoma?Elimu!
Anapaswa kupenda dyudyu kama ambavyo sisi tunapaswa kupenda papuchi!Kumbe mwanamke hapaswi kuogopa dyudyu!!