sawa[emoji15] [emoji15] [emoji15] inawezekana wewe sio mwanamke.
Kumbe mwanamke hapaswi kuogopa dyudyu!![emoji15] [emoji15] [emoji15] inawezekana wewe sio mwanamke.
hahahahhahhahhaah hamna cha mashart mengi bhana ya kawaida tu .Pengine punguzeni vigezo,mmekua mnatupa masharti mengi sana nyie kina dada.
We umerogwa ww sio bureMie kwa sababu mume wa mtu mtamu kwa hiyo sioni sababu ya kuolewa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ili makali yapungue.unaogopa ili iweje?
Mbona mimi nakiona kawaida tu hata hakijavimba!Hahhaha jamaa alipo apo anavimbaje kichwaa....
Nilishasema dawa yakoMbona mimi nakiona kawaida tu hata hakijavimba!
Wewe yaelekea sio binadamu wa kawaidaUCHUMI BINAFSI HAUJAKAA SAWA....BINAFSI SIJIWEZI VP NIOE....NAISHI KWA FORMULA ZISIZO EPUKIKA ZA 011001,010,101,100,000,110...HIZI NAZIWEKA NA NISIR YANGU NA MUNGU WANGU.IYO YA 011 ndio kanuni pendwa kwangu.
Mtoto anapatikana kwa mwanamke kupokea mbegu kutoka kwa mwanaume wakati wa tendo la ngonosasa huyo mtoto unampataje bila kuoa????