Nini kilikusaidia kupata kazi?

Baada ya kusota miaka miwili bila kazi, mwaka huu mwezi wa pili nilikua napitia Pitia ajira kwenye app ya ajira leo.
Nikakutana na tangazo la ajira taasisi moja ya watu wa marekani nikatuma maombi kwa kufauta masharti waliyoweka mana walitaka utume CV grade uliyopata kidato cha nne na cha sita pamoja na GPA ya chuo.
Baada ya lisaa nikapigiwa simu kuniambia wamepokea maombi yangu tuwasiliane WhatsApp. Kwanza sikua excited mana nilihisi ni matapeli ila baada ya kuwasiliana vizuri ndio nikajua ni kazi kweli.

Asante Mungu niko hapa hadi leo.
 
Baada ya ku hustle sana na kuomba kazi za utumishi na kuambulia patupu hatimae nikaona tangazo taasisi moja ya serikali nikaaply, tukafanya written nikapita tukaja kwenye oral sasa kwakua nilikua kwenye msoto nilihakikisha ile oral nimeifanya vizuri mpaka mkurugenzi akanambia mbele ya panel dogo nakuajiri akanipa moono wa kheri na remember mm ndo nilikua wakwanza kuingia kwenye chumba cha interview.

Kilichonisaidia n comfidence. Alhamdulilah Leo nipo kwenye hiyo taasisi na haukupita mwaka nimepewa na cheo cha kuheshimika tuu
 
hongera mkuu...kama una connection msaada wako tafadhali..nina Bsc computer science
 
Kazi hupati ukimaliza tu chuo unaipatia pia field ukienda mfano wa karibuni Kuna kijana yuko.mwaka wa pili chuo anachukua digrii ya marketing kaenda kampuni ya mafuta field akaenda kutafuta wateja wa mafuta wa kampuni akapata mteja kampuni kubwa ya saruji ya tenda ya mwaka ya mafuta ya bilioni tatu wamemwajiri tayari wamekubali kumaliza ada ya mwaka wa mwisho na atalipwa Kama mfanyakazi aliye masomoni akimaliza aendelee na kazi
 
hongera mkuu...kama una connection msaada wako tafadhali..nina Bsc computer science
Omba Mungu sana, kuajiriwa hakuna ujanja, ni Mwenyezimungu akiamua tu unapata, kuna jamaa yangu mmoja hivi alijitolea Kinyerezi 2, miezi 10 hakupata ajira, kipindi anajitolea akaitwa tena kujitolea TPA(seap program) mwaka mzima uliisha na ajira zikitoka yupo pale lkn alikuwa hapati ajira, ingawa alikuwa analipwa 1M kwa nwezi. juzikati ajira za TBA wakaitwa watu 280 huku wakiwa wanatafuta mtu mmoja akachukuliwa yeye (Mechanical Engineer 2).

Kuna mdogo wangu kamaliza mwaka huu AUTOMOBILE ENGINEERING, kapata kazi TOTAL bila connection walienda kuomba kurecruit watu wa automobile wanamchukua kisa ana gpa nzuri, kuna jamaa humu jamii forum, nilimkonect tu mahala wanatafuta maintenance engineer haikuchukua hata week 2 akaitwa kazini, na niliwapa watu wengi email watume maombi lkn ye aliitwa faster. .

Ukisikia mtu kapata kazi wala sio ujanja wake, bali nimuda tu umefika.
 
Omba Mungu sana, kuajiriwa hakuna ujanja, ni Mwenyezimungu akiamua tu unapata, kuna jamaa yangu mmoja hivi alijitolea Kinyerezi 2, miezi 10 hakupata ajira, kipindi anajitolea akaitwa tena kujitolea TPA(seap program) mwaka mzima uliisha na ajira zikitoka yupo pale lkn alikuwa hapati ajira, ingawa alikuwa analipwa 1M kwa nwezi. juzikati ajira za TBA wakaitwa watu 280 huku wakiwa wanatafuta mtu mmoja akachukuliwa yeye (Mechanical Engineer 2).

Kuna mdogo wangu kamaliza mwaka huu AUTOMOBILE ENGINEER, kapata kazi TOTAL bila connection walienda kuomba kurecruit watu wa automobile wanamchukua kisa ana gpa nzuri, kuna jamaa humu jamii forum, nilimkonect tu mahala wanatafuta maintenance engineer haikuchukua hata week 2 akaitwa kazini, na niliwapa watu wengi email watume maombi lkn ye aliitwa faster. .

Ukisikia mtu kapata kazi wala sio ujanja wake, bali nimuda tu umefika.
unachosema ni kweli kabisa
 
Si kweli hata hivy taasisi zipo za Binafsi pia nao wanatumia Secretariet ya Ajira?

Ukifany kazi vizuri Unakuwa Recommended na Taasisi ina uwezo wa kukuajiri kwa kutumia mwamvuli huo huo wa sekretariet ya Ajira
sawa
 
Usikate Tamaa, Nafasi zipo nyingi tu ni MTU wa kukuamini akupe majukumu ndio changamoto nimefanya kazi na vijana wenzangu na wakati najifunza kazi kwa Vitendo (Field) kusema ukweli... sisi Wenyewe ndio tunajikosesha Kazi. Na tunajichafulia jina hasa kipindi hicho kwa kuwa wengi wetu hatuajitumi.. sio wabunifu na mbay zaidi hatujali kbs.

M sure kam upo vzr Utapata kazi
 
sawa mkuu
 
Muda mwngine changamoto tunazo pitia ni funzo ili tukipata kazi tuithamin na tuifanye kwa uadilifu na kutukimia vipato vyetu kwa njia sahihi..

Kikubwa uvumilivu tu riziki yako ukishaandikiwa hakuna atakaeweza kuila tofaut na ww hata kama utacheleweshewa ila kama Mungu kaandika ni yako utaipata tu.
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hatujui hatima ya maisha yetu.Mimi binafsi nimehitimu miaka kadhaa imepita nilipomaliza chuo nilikuwa na haraka sana ya kutafuta kazi miaka inasonga ni kama zile nguvu zimeisha nahisi uchungu kusikia mtu anaongelea mambo yanahusu kazi ilihali wengine tunahangaika sana..

Kwa kweli nimeitwa interview kadhaa lakini naona kama danganya toto tu walio na iyo kazi wapo tayari wengine tunapoteza tu muda..nimefikiria kila mtu anayeweza kunipa connection lakini nako hakuna matumaini.

Sasa wandugu wewe uliwezaje kupata kazi tupeane mbinu jamani stress zinazidi
Kuna dada mmoja kasoma Bachelor ya Kiswahili.. Yupo mtaani anatafuta kazi kwenye makampuni.. Nashindwa kumwambia kuwa kwa elimu yake ingekuwa rahisi kwa yeye kupata kazi iwapo angeenda kwenye mashule kutafuta kazi ya kufundisha!
Sasa anaendelea kuibemenda taaluma yake kwa kuendelea kukaa mtaani wakati uwezo wa kufundisha sarufi anao!
 
Kazi yangu ya kwanza mpk ya tatu ni Mungu tu ndio alikuwa anasimama na mimi, naamini hivyo maana sikuwa na connection yoyote.
Kazi niliyonayo sasa ni connection, wakati niko kwenye kazi yangu ya pili niliwahi kumsaidia mtu nikijua ndio imetoka, ni msaada wa mawazo tu kwsbb kipindi kile alikuwa anapitia wakati mgumu sana. Sikujua kama ule msaada ulikuwa useful kwake, miaka ikakata bila kuonana wala kuwasiliana, mwaka huu mwezi wa tatu nikaona call yake akanieleza mchakato nikakubali basi nikawa nimetumiwa offer letter ya kuitwa kazini na ndipo nilipo hadi sasa.
Japokuwa huyo mtu sijawahi kuonana nae ht hapa kazini, yupo kituo kingine na wala hajawahi nipigia tena mpk leo.
 
Acha tu mkuu, nilienda kwenye interview moja tena benk, tumefanya round one tulikuwa kama 300 hvi, tukatokea 10 kati ya wale 300, interview ilikuwa ya round w tu ndo mana walikata kutoka 300 mpaka kumi kupunguza idadi ya wanaoenda round ya 2 ambayo ni mwisho

Tulipoenda tulikuwa wanaume 2 na wanawake 8

Interview ikaendelea, ilipofika zamu yangu wakauliza maswali mpaka ya siasa, nkajibu

Mwisho wakaniambia eti nina mwili mdogo sitoiweza nafasi nanayoiomba mana nafasi hiyo chini yake kuna watu wengine wazima na wakubwa sana kimwil hivyo hawataniheshimu

Najuta kuwa na mwil mdogo, nilitaman Mungu aniumbe upya, mpaka leo npo mtaani zaid ya 5 yrs sasa
Pole sana. nafasi yako inakuja dont give up.
 
Back
Top Bottom