Nini kilikusaidia kupata kazi?

Nini kilikusaidia kupata kazi?

mkuu hata field ni connection ukipata field kirahisi ujue hakuna hela hapo..mimi nilitafuta field sana nilienda hifadhi za jamii zote na kwengine lakin wakijua ni barua za field jibu rahisi ni kwamba mpaka makao makuu au nafasi zimejaa..na hata ttcl tena nilijibiwa bila kuangaliwa usoni alikuwa bize na simu yake..na hata halmashauri ambapo nilisema siendi nilikuja kuona ni lulu baada ya kuchoka kuzunguka one thing more nilipiga kazi vizuri tu na nilitengeneza web nzuri tu na nina mawasiliano nao vizuri lakin problem ni kwamba hawana capable ya kum-employ mtu na siwalaumu licha ya kwamba nilitoa sana walinipa A za field...
kwa hiyo kujitoa sana sio kwamba ni garantee utarudi hapo inategemea unajitoa wapi!
That's why nikasema nenda Sehem unayoona Kuna uwezekano wa KUBAKI. Halmashauri kivyovyote lazima kutakuw na Ugumu unless Mkurugenzi akubebe.

Ni kwel Field kupata ni Kazi sana.. inahitaji Connection pia ila mie naona Wengi hawafanyi RESEARCH kabla ya kwenda kuomba FIELD.

Mfn. Kwa Mtu wa Human Resources Management.. nitamuona Mjinga akikimbilia Ktk TAASISI za kawaida badala ya kwenda ktk RECRUITING AGENCIES.. na nauhakika Wanafunzi wengi wanaomba ktk Makampuni makubwa makubwa.. na kusahau hizi RECRUITING AGENCIES... Kitu ambacho wakati nafatilia Field nilikipa KIPAUMBELE nikiwa na TARGET zangu.. ila nikapata Sehem nyingine. Class langu lilikuwa na WANAFUNZI 70 Wote ni HR hakuna HATA mmoja aliyeenda ktk RECRUITING AGENCIES Kufanya FIELD.

Umeona TATIZO lilipo..?
Wengi walienda Serikali ya Mtaa.. baada ya kukosa Ktk Makampuni makubwa.

End of the day ni kupoteza MUDA.

SO swala la Field, Internships na Ajira vyote vinahitaji RESEARCH na Evaluation kabla ya kupeleka BARUA yako.

Unatakiwa ujue UNAHITAJI nini? Na kwa wakati gani. Pia inahitaji Ujue Tija ya Hiyo Taasisi ktk Career yako.

Ntashangaa IT unaenda kuomba Field HALMASHAURI hata kama umekosa pa kufanya field ni BORA uache tu ufanye muda mwingine. Instead of kupoteza Muda hapo.
 
hii mbinu tulifundishwa na DR flani tukiwa chuo mi nilikua nazingatia sana story zake japo alikua na utani mwingi ila alikua anajitaidi kutuelezea dunia tutakayokutana nayo huko
sawa.vizuri
 
That's why nikasema nenda Sehem unayoona Kuna uwezekano wa KUBAKI. Halmashauri kivyovyote lazima kutakuw na Ugumu unless Mkurugenzi akubebe.

Ni kwel Field kupata ni Kazi sana.. inahitaji Connection pia ila mie naona Wengi hawafanyi RESEARCH kabla ya kwenda kuomba FIELD.

Mfn. Kwa Mtu wa Human Resources Management.. nitamuona Mjinga akikimbilia Ktk TAASISI za kawaida badala ya kwenda ktk RECRUITING AGENCIES.. na nauhakika Wanafunzi wengi wanaomba ktk Makampuni makubwa makubwa.. na kusahau hizi RECRUITING AGENCIES... Kitu ambacho wakati nafatilia Field nilikipa KIPAUMBELE nikiwa na TARGET zangu.. ila nikapata Sehem nyingine. Class langu lilikuwa na WANAFUNZI 70 Wote ni HR hakuna HATA mmoja aliyeenda ktk RECRUITING AGENCIES Kufanya FIELD.

Umeona TATIZO lilipo..?
Wengi walienda Serikali ya Mtaa.. baada ya kukosa Ktk Makampuni makubwa.

End of the day ni kupoteza MUDA.

SO swala la Field, Internships na Ajira vyote vinahitaji RESEARCH na Evaluation kabla ya kupeleka BARUA yako.

Unatakiwa ujue UNAHITAJI nini? Na kwa wakati gani. Pia inahitaji Ujue Tija ya Hiyo Taasisi ktk Career yako.

Ntashangaa IT unaenda kuomba Field HALMASHAURI hata kama umekosa pa kufanya field ni BORA uache tu ufanye muda mwingine. Instead of kupoteza Muda hapo.
mkuu unayosema yote ni kweli...ila kwangu ni too late nilipiga halmashauri huko sasa napambana tu nipate mishe kwanza..
 
Dah nmemaliza chuo nkawa nmeaply sehemu mbili, yakwanza walinpgia sikua hewani wenzangu wakanpgia simu why sijaenda na jina langu linaitwa nkajilaumu sana, hiyo yapili nkapigiwa nijiandae watanipa taarifa lini niende dar kufanya usahili ......nkakaaaa weee wapiii hakuna cha simu wala nini .......kumbe mama alikuwa anawasilianaga na ndugu yake mmja hivi wanitafutie nafasi sehemu moko hiviii,nakumbuka ilikua alhamis nkapgiwa na mfanyskaz wa hyo ofisi naambia j3 njoo mzigoni dah mungu ambaliki sana mama kelphin
Mkuu ulipita bila interview

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Binafsi ni juhudi tu katika field yangu ya kwanza, pia na Bahati naweza kusema. Field yangu nilijituma sana na kama Bahati, aliyekua assistant wa boss alikua mlevi na mzembe mno kazini kiasi kwamba jumatatu kuja kazini kwake lilikua jambo zito, either apoteze simu au aje ananuka pombe siku nzima, kupitia tabia zake nikaonekana nafaa sana, hata nilipomaliza chuo sikufanyiwa interview wala kuombwa japo CV nilipewa contract na mshahara mzuri nikiwa fresh from school....
Then baadae baada ya hiyo kampuni kufunga kazi zake TZ nikatuma CV kampuni moja kiutani tu siku hiyo hiyo nikaambiwa at my favourate time nifike ofisini kwao, nikajua interview, kufika wananimbia tunegotiate mshahara na niwambie lini nitaanza kazi, baada ya hapo tukakubaliana hadi leo Niko nao na tunategemeana....
Sijawahi fanya interview yeyote wala kuombwa cheti chochote zaidi ya kuaminiwa, na nalipwa mshahara unaojitosheleza na kazi zangu zinaheshimika. Kiufupi huwa najiona ni mwenye Bahati tu mana sijawahi kutumia utaalamu au namna yoyote zaidi ya Bahati tu.
 
BSC computer science
Safi.... Hii ni Taaluma nzuri sana Mnoo..

Mie ningesoma hii Approach yangu ingekuwa ni Hii.

KUTAFUTA partner mwenzangu ambae ni Competent kama mim au kanizidi.
(mmoja anakuwa Vzr ktk Software mwingine Hardware) na wote mnakuwa vzr ktk Networking and Coding.

Then Tunaunda KI ofisi chetu chenye vifaa vyote muhimu vya Computer maintenance,Data retrieval na Maswal yote nyeti ya kazi.

Tunaomba CONNECTION kufanya Computer Repairing and Setup pamoja na kuvumbua Programs ambazo ni useful ktk Taasisi kadhaa.

Tukipata Tender ndio tyr ishatoka hiyo.. ni ishu ya Kujiajiri sana.. unless mkipata kazi kwa Pamoja ktk kampuni or etc.

Ulichokisomea ni kitu kizuri sana kama Umekipenda maana Chance ya kujiajiri ni kubwa mno..
 
alinipgia simu mshikaji wangu kama kunivimbia oya ile kampuni ya vilevi wamentumia msg kesho niende kwenye entaview dah nkaona mm ndio naozea mtaaani nkasema poa kesho yake kaniambia kashaingia kiwandani nkasema ngoja nijivute pande izo nkachek ata mazingira nione ilo kundi la walioitwa kufika pale nkaona kuna mlinzi ukifika unaonyesha msg uliotumiwa unazama ndani nikamwambia jamaa em ntumie iyo msg yao niione akantumia sawa ilkua ya link kama izi za biko au tatu mzuka lakin nkaedit namba ya jamaa nkaisave vile nkasogea getini na baasha yangu kwapani nkazama ndani wanatakiwa 9 kwa kanda nzima na ue na leseni iliyo vzur apo ndipo nlpomzdi mshikaj wangu nlibaaatika kupata nafasi ile japo ki muujiza sana mana hata jina halikua katika shotlist nkapga zote mbil tukaenda kwenye test nje nkaipga gia vzuri tu ile nissan mpka leo mwanangu anachekaga tu tukikutana japo nae alibaatisha kwenye vingamuzi kama sales manager
 
Binafsi ni juhudi tu katika field yangu ya kwanza, pia na Bahati naweza kusema. Field yangu nilijituma sana na kama Bahati, aliyekua assistant wa boss alikua mlevi na mzembe mno kazini kiasi kwamba jumatatu kuja kazini kwake lilikua jambo zito, either apoteze simu au aje ananuka pombe siku nzima, kupitia tabia zake nikaonekana nafaa sana, hata nilipomaliza chuo sikufanyiwa interview wala kuombwa japo CV nilipewa contract na mshahara mzuri nikiwa fresh from school....
Then baadae baada ya hiyo kampuni kufunga kazi zake TZ nikatuma CV kampuni moja kiutani tu siku hiyo hiyo nikaambiwa at my favourate time nifike ofisini kwao, nikajua interview, kufika wananimbia tunegotiate mshahara na niwambie lini nitaanza kazi, baada ya hapo tukakubaliana hadi leo Niko nao na tunategemeana....
Sijawahi fanya interview yeyote wala kuombwa cheti chochote zaidi ya kuaminiwa, na nalipwa mshahara unaojitosheleza na kazi zangu zinaheshimika. Kiufupi huwa najiona ni mwenye Bahati tu mana sijawahi kutumia utaalamu au namna yoyote zaidi ya Bahati tu.
Naomba connection ya kazi mkuu.hongera kwa bahati
 
Safi.... Hii ni Taaluma nzuri sana Mnoo..

Mie ningesoma hii Approach yangu ingekuwa ni Hii.

KUTAFUTA partner mwenzangu ambae ni Competent kama mim au kanizidi.
(mmoja anakuwa Vzr ktk Software mwingine Hardware) na wote mnakuwa vzr ktk Networking and Coding.

Then Tunaunda KI ofisi chetu chenye vifaa vyote muhimu vya Computer maintenance,Data retrieval na Maswal yote nyeti ya kazi.

Tunaomba CONNECTION kufanya Computer Repairing and Setup pamoja na kuvumbua Programs ambazo ni useful ktk Taasisi kadhaa.

Tukipata Tender ndio tyr ishatoka hiyo.. ni ishu ya Kujiajiri sana.. unless mkipata kazi kwa Pamoja ktk kampuni or etc.

Ulichokisomea ni kitu kizuri sana kama Umekipenda maana Chance ya kujiajiri ni kubwa mno..
mkuu nitafanyia kazi ushauri wako..ila starup capital bado muhimu ambayo ukiweka ofisi vizuri inafuture type ya customer ambayo unalenga ukiweka bila capital nzuri utapata ishu za ant virus tu na hela ya kula huwezi pata tenda za kampuni ni kama hauaminiki sijui kwa nini hili ila nimeliona sana...
 
Kwa kuanza ni ngumu ila tumia Changamoto hiy vzr. Mie napenda IT naiishi yaan najifunza Mambo mapya kila siku ingawa sijasoma Darasani even mtu wa Bachelor akiniingia Vibay namtoa kamasi.

Turud kt Mada..
Ukitaka upige pesa Kuwa mzuri ktk MAINTENANCE..usichague.. yaan piga kote Kuanzia MOBILE phone's mpk Computers kote chafua.. hapo ndio ujipime ujuzi wako upoje.

Pia ikishindikana.

Nenda k.koo tafuta ofisi hasa hizi za Computer maintenance solutions jishikize..

Utakuwa more skilled and m sure baadae utafungua kiofisi chako na ww utaajiri watu as wasaidizi.
 
Moja kwa moja kwenye mada...

Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hatujui hatima ya maisha yetu.Mimi binafsi nimehitimu miaka kadhaa imepita nilipomaliza chuo nilikuwa na haraka sana ya kutafuta kazi miaka inasonga ni kama zile nguvu zimeisha nahisi uchungu kusikia mtu anaongelea mambo yanahusu kazi ilihali wengine tunahangaika sana..

Kwa kweli nimeitwa interview kadhaa lakini naona kama danganya toto tu walio na iyo kazi wapo tayari wengine tunapoteza tu muda..nimefikiria kila mtu anayeweza kunipa connection lakini nako hakuna matumaini.

Sasa wandugu wewe uliwezaje kupata kazi tupeane mbinu jamani stress zinazidi
Mimi nilipata kazi kwa kuchukua email ya COO, nikamuemail sikuweka hata CV, asubhi ninaamka nakuta kaniomba CV niakamtumia, akaniambia niende ofisini kwao kesho yake. Interview tukaifanyia SLipway na haikuwa interview ilikuwa story. Training akanipa mwenyewe niliomba internship akaishia kunipa kazi na malipo mazuri.

Kuna ndugu yangu alipataga kazi shirika la misaada la Japan JICA, kisa kwenye interview walipewa swali la kuandaa spread sheets unajumulisha kwa formula. yeye akawa hajui, akawa anajumlisha kawaida anaweka jibu. Mjapan aliyekuwa anasimamia akamwona, akamfuata akamuuliza kwaniniunafanya hivi mbona wajumlisha kawaida, Jamaa akamjibu hapana nimeweka formula. Mjapana kaanza kuchheka jinsi jamaa alivyokuwa kaweka sura kama kweli vile. Akacheka sana akamwambia I like you. Hivyo na kazi akapata.
 
hahah safi..Aisee hongera
 
Binafsi ni juhudi tu katika field yangu ya kwanza, pia na Bahati naweza kusema. Field yangu nilijituma sana na kama Bahati, aliyekua assistant wa boss alikua mlevi na mzembe mno kazini kiasi kwamba jumatatu kuja kazini kwake lilikua jambo zito, either apoteze simu au aje ananuka pombe siku nzima, kupitia tabia zake nikaonekana nafaa sana, hata nilipomaliza chuo sikufanyiwa interview wala kuombwa japo CV nilipewa contract na mshahara mzuri nikiwa fresh from school....
Then baadae baada ya hiyo kampuni kufunga kazi zake TZ nikatuma CV kampuni moja kiutani tu siku hiyo hiyo nikaambiwa at my favourate time nifike ofisini kwao, nikajua interview, kufika wananimbia tunegotiate mshahara na niwambie lini nitaanza kazi, baada ya hapo tukakubaliana hadi leo Niko nao na tunategemeana....
Sijawahi fanya interview yeyote wala kuombwa cheti chochote zaidi ya kuaminiwa, na nalipwa mshahara unaojitosheleza na kazi zangu zinaheshimika. Kiufupi huwa najiona ni mwenye Bahati tu mana sijawahi kutumia utaalamu au namna yoyote zaidi ya Bahati tu.
Taaluma gani?
 
Safi.... Hii ni Taaluma nzuri sana Mnoo..

Mie ningesoma hii Approach yangu ingekuwa ni Hii.

KUTAFUTA partner mwenzangu ambae ni Competent kama mim au kanizidi.
(mmoja anakuwa Vzr ktk Software mwingine Hardware) na wote mnakuwa vzr ktk Networking and Coding.

Then Tunaunda KI ofisi chetu chenye vifaa vyote muhimu vya Computer maintenance,Data retrieval na Maswal yote nyeti ya kazi.

Tunaomba CONNECTION kufanya Computer Repairing and Setup pamoja na kuvumbua Programs ambazo ni useful ktk Taasisi kadhaa.

Tukipata Tender ndio tyr ishatoka hiyo.. ni ishu ya Kujiajiri sana.. unless mkipata kazi kwa Pamoja ktk kampuni or etc.

Ulichokisomea ni kitu kizuri sana kama Umekipenda maana Chance ya kujiajiri ni kubwa mno..
Ni kawaida kwa usichokuwa nacho kuwa na mipango nacho kana kwamba ni rahisi kama unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom