Nimemaliza chuo kipindi cha kusubiri graduation, nikajua aina gani ya kampuni ningependa kufanyia kazi ambazo nyingi zilikuwa SME's ,
Nikaingia mtandao wa linkedin, nikawafollow (connect) maboss wa kampuni chache na kuwatumia ombi langu inbox bila kuweka pesa mbele. Nilijibiwa na baadhi ilibidi niwapelekee CV physically
Nilijibiwa na mtu mmoja seriously lakini ilinichukua kama mwezi mmoja kusubiri then nikaitwa kama intern then nikapewa kazi with low payment
Kwa kiasi kikubwa mitandao imenisaidia kuanzia linkedin, Jamii forums hadi facebook ingawa bado nahustle kufika napotaka, inshallaahh nitafika