Nini kilikusaidia kupata kazi?

😅😃....daaah unanikumbusha mbali sana adi leo Kwenye oral nikiona panel ya wale jamaa kiingereza kinanitoroka,na sijawahi bahatika kupata ya kiswahili.

Vipi lakini walikuajiri?
Haaaa wapi….sa hv npo ajira ya pili nasema ni Mungu tu nahisi ndo alikuwa anafanya interview yangu mi nliitwa tu kazini.
 
Wakuu mwenye conection ya kazi naomba jamani elimu yangu form four nlishafanya kazi kama cashier, receptionist kwenye mahotel, naombeni msaada wenu hali ni tete jamani
Sio vizuri kufanya kazi kama hizo bila kusomea
 
Back
Top Bottom