Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,840
Haya...Basi na Mimi waliniajiri kwa kuangaliwa sura TU...Kazi ngumu hizi za makampuni ya ujenzi
Haya...Basi na Mimi waliniajiri kwa kuangaliwa sura TU...Kazi ngumu hizi za makampuni ya ujenzi
Wengi wanajifanyaga wana connections za kazi ila hawana kitu mkuu. Trust me. Wengi wao wakiona wameshindwa wanakupiga chenga badala ya kuwa wakweli.nimefikiria kila mtu anayeweza kunipa connection lakini nako hakuna matumaini.
Kumbe ile comment yangu ya kwanza uliichukulia ndivyosivyoHaya..Basi na Mimi waliniajiri kwa kuangaliwa sura TU..
Mkuu ..utapata kazi kuwa na subira Ni mtahani TU wa maishaKumbe ile comment yangu ya kwanza uliichukulia ndivyosivyo
Sasa ulimkumbka huyo mtu au ndo shukurani ya punda ni mateke😃😃Wengi wanajifanyaga wana connections za kazi ila hawana kitu mkuu. Trust me. Wengi wao wakiona wameshindwa wanakupiga chenga badala ya kuwa wakweli.
Mtu aliyenipa kazi yangu ya kwanza mwaka 2013 mkoani Iringa mshahara take home 750,000/= alikuwa ni mtu wa kipato cha chini saaaana sema aliniomba CV yangu kisha akampa ndugu yake aliyekuwa anafanya kazi BANK.
Mungu ni mwema, ipo siku!Wengine tunasubir huruma za Mungu tu![emoji4][emoji4]
Hiyo ya kumkumbuka huyo mtu ni siri yangu mimi na yeye kwa maana kwa kiingereza wanasema kwamba "When helping the poor leave your camera at home" wakiwa na maana kuwa "Ukimsaidia mtu kamwe usimtangaze"Sasa ulimkumbka huyo mtu au ndo shukurani ya punda ni mateke😃😃
Mkuu, usitafute connections bali connections nzuri zinakuja zenyewe "automatically"nilipiga kazi kwa uaminifu na kwa kutafuta konekisheni..hivyo ndivyo nilivyofanikiwa.
Daaah kweli mkuuSiku zote mtembea bure sio sawa na mkaa bure mkuu
nadhamini sana kwa mtu wako mzuri..Pole sana mdogo wangu. Nilikuwa kama wewe mwaka 2009 mpaka 2012 ila yote yamepita na imebaki kuwa historia.
Ninakuombea kwa Mungu wewe pamoja na vijana wengine wanaohangaika kupata kazi kuwa ipo siku utakuwa na pesa nyingi sana mdogo wangu.
Asante. Hakika Mungu amelisikia ombi lako juu ya maisha yangu. Amen.nadhamini sana kwa mtu wako mzuri..
naomba Mungu uishi milele..