Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 5,607
- 11,460
Ilikua hivi 👇
1GB+dakika 100+100 SMS = Tsh. 1,000/= 7days.
sasa ni 👇
MB 449+dakika 25+50 SMS kwa Tsh. 1,000/=
Nilikuwa nikimnnunulia mdogo wangu internet za 10,000 Tsh. = 10GB, kwaajili ya kufatilia masomo youtube na kushiriki mijadala ya masomo kwenye laptop yake zilikua zikimtosha.
Ila kwa sasa 10,000 Tsh. = 5GB analalamika zinaisha haraka na azimtoshi analazimika kukatisha anachokisoma mtandaoni.
Nini kilisababisha kupanda kwa vifurushi vya internet? Vipi kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano hauna mahusiano ya moja kwa moja ya kupanda au kushuka kwa vifurushi hasa internet?