Nini kazi ya kidole cha tatu baada ya dole gumba

Nini kazi ya kidole cha tatu baada ya dole gumba

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,172
Mara nyingi huwa najiuliza sana kazi ya kidole hicho. Kazi ya dole gumba ni dhahili inafahamika kwamba ni kwa ajiri ya salamu , mtu akikunyoshea ina maana anakupa dole kwamba mambo yake safi.

kidole kinachofuata ni kwa ajiri ya kuonya , mtu akikunyoshea ina maana ukome na tabia yako. Kidole cha nne inafahamika dhahiri ni kwa ajiri ya pete , mtu akivaa pete kidole hicho ina ana mumewe . hali kadharika kidole cha mwisho nacho pia ni cha uchumba .

Utata unakuja kwenye kidole cha tatu yaani cha kati juu ya kazi yake , na kwa nini mtu akionyeshwa inakuwa kesi.

Kwa yule asiyefahamu nashauri afanye jaribio ukikutana na kijana yoyote au mzee umuonyesha kidole hicho halafu mwangalie usoni . Lakini kama mtu anafahamu sababu hasa ya kidole hicho kuhusishwa na dhana ya matusi ni nini , atujuze na wengine wafahamu .
 
Jamani wana jf mimi mgeni humu Naomba mnikaribishe
 
Kazi za vidole vyote ni kufugia kucha hizo nyingine mbwembwe tu...
 
Names of Each Finger


  • Thumb -
The thumb is the short, stubby finger that can rotate in all directions (opposable thumb). The anatomical name for the thumb is the 1st finger.


  • Index Finger -
This finger is also known as the pointer finger, the forefinger and the trigger finger. The anatomical name is the 2nd finger, digitus secundus or digitus II. Its hand analysis name is the 1st finger or the Jupiter finger.


  • Middle Finger -
This finger is called the bird finger, the long finger and "The Finger." Its anatomical name is the 3rd finger, digitus tertius, digitus III or digitus medius (because it's in the middle). Palm readers know it as the 2nd finger or the Saturn finger.



  • Ring Finger -
This finger has several anatomical names including the 4th finger, digitus quartus, digitus IV, digitus annularis and digitus medicinalis. Hand analysts know this finger as the 3rd finger or the Apollo finger.


  • Little Finger -
Also known as the baby finger or pinky, the little finger is the smallest of all the fingers. Its anatomical name is the 5th finger, digitus quintus or digitus V, while hand analysts call it the 4th finger or the Mercury finger.
 
2Q==
gamer-fingers-e1355154303667.jpg
 
Asubuhi yote hii Unafikiria upumbavu mtupu!! Una umri gani? Ungeuliza kwenye jukwaa la habari na hoja. Kazi yake ni kuvaa pete nacho na kushirikiana na vidole vingine kushika kitu!
 
120px-Givingthefinger.jpg
images


In Western culture, the finger (as in giving someone the finger or the bird[SUP][1][/SUP]), also known as the finger wave, the middle finger,flipping someone off,[SUP][1][/SUP] flipping the bird, shooting the bird, the rude finger, the one finger salute (and other names) is an obscene hand gesture. It communicates moderate to extreme contempt, and is roughly equivalent in meaning to "*** off", "*** you", "shove it up your ass", "up yours" or "go *** yourself." It is performed by showing the back of a closed fist that has only the middle finger extended upwards, though in some locales the thumb is extended. Extending the finger is considered a symbol of contempt in several cultures, especially Western cultures. Many cultures use similar gestures to display their disrespect, though others use it to express pointing with no intentional disrespect toward other cultures.

The gesture dates back to
Ancient Greece and was also used in Ancient Rome. Historically, it represented the phallus. In some modern cultures, it has gained increasing recognition as a sign of disrespect, and has been used by music artists, athletes, and politicians. Most still view the gesture as obscene.
 
Kidole cha kupimia oil hicho! Ndo maana ukimuonyesha mtu anakasirika anajua wataka kumpima oil, hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom