Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

Nimeota mpenzi wangu amevishwa pete ya uchumba

Juma2010

Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
41
Reaction score
81
Wadau.

Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji.

Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya uchumba muda wote? Anamlingishia nani? Nikacheka. Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati.

Niliwahi kumuuliza akasema amejivisha baada ya kuona mimi sitaki kumvalisha. Eti afanye nini sasa.

Watafsiri wa ndoto. Hii ina maana gani.
 
Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati. Niliwahi kumuuliza akasema amejivisha baada ya kuona mimi sitaki kumvalisha. Eti afanye nini sasa.
Kajivalisha pete makusudi ili ujae kwenye mfumo, mwanamke anaeitaka sana ndoa na anakuonesha live ni hatari.
 
Wadau. Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji. Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya uchumba muda wote? Anamlingishia nani? Nikacheka. Halafu ni kweli demu ana pete kidole cha kati. Niliwahi kumuuliza akasema amejivisha baada ya kuona mimi sitaki kumvalisha. Eti afanye nini sasa.

Watafsiri wa ndoto. Hii ina maana gani.
Ulitakaaaa avishwe gololii

Endelee kuchezeaaa wenzenu wanarushia mzigo ndoton
 
Bora wewe mimi alikuja na love bite shingoni nilipomuuliza akasema ati amejing'ata yeye mwenyewe!..
 
Back
Top Bottom