Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
Ok mkuHapana sijaamini ila nimemuuliza tu
Ok mkuHapana sijaamini ila nimemuuliza tu
Ni mimi na najina ya kina Anneth...ishanitokea zaid ya mara nneMimi kidg karibu nifanane na wewe japo mimi story yangu ni kwenye majina. Nina majina kama matano hivi ambayo wanawake wote ninaotokea kudate nao lazima waangukie kwenye hayo majina, yani hayo majina huwa yananifuata tu. Kila nikidate na mrembo fulani unakuta jina lake lipo kwenye cyle ileile. Cjui kama wanaume wenzangu hii kitu imewakumba au ni mimi tu.
Hahah... Umeona eehNi mimi na najina ya kina Anneth...ishanitokea zaid ya mara nne