Nini husababisha hii kitu?

Nini husababisha hii kitu?

Katika Internet inaitwa algorithm yaani uki-like page ya Yanga unaletewa na page nyingine za timu ya mpira.

Mfumo wa Internet upo the same na mfumo wa binadamu ulivyo.

Ukitembea na watu wa aina fulani basi unakuwa unaletewa watu wa aina hiyo hadi pale utakapoamua ku-unlike hao watu

Na hiyo sio mahusiano even friends inakuwa the same

Pia hata katika aina fulani za Kazi.
 
Mhmmm wewe kila kitu maagano
Huwezi elewa kama haupo kiroho..
Biblia inasema nitapatiliza uovu wa baba zenu mpaka kizazi Cha nne ..

Kasome Biblia Gidion alivyokuwa masikini wa kupepeta ngano wakati ni Shujaa sababu ya miungu ya baba yake ..

Muone Yakobo alivyompenda mwanamke Rebecca mwenye miungu ya baba yake jinsi Laban alivyokuwa anamfuata Nyuma baada ya kumtumikia ni sababu ya miungu ambayo Rebecca alijificha kwenye uke...mwishowe miungu ilimuua...

Hivyo miungu ya wazazi inaweza ikakufuata na kukuletea matatizo bila wewe kujua
 
Katika Internet inaitwa algorithm yaani uki-like page ya Yanga unaletewa na page nyingine za timu ya mpira.

Mfumo wa Internet upo the same na mfumo wa binadamu ulivyo.

Ukitembea na watu wa aina fulani basi unakuwa unaletewa watu wa aina hiyo hadi pale utakapoamua ku-unlike hao watu

Na hiyo sio mahusiano even friends inakuwa the same

Pia hata katika aina fulani za Kazi.
🤔
 
Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Itakuwa na kaharufu flani kanachopendwa na hilo kabila, au una rangi nyeupe/light skin ipendwayo na wasukuma😂
 
Back
Top Bottom