ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,359
- 118,722
Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...Mhmmm wewe kila kitu maagano
Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...Mhmmm wewe kila kitu maagano
Hata wakiugua malaria hua wanasema ni mapepo.Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...
Umalaya tena! Kwani kila anaekutongoza ni lazima kumkubliAcha umalaya,
Utatafunwa na kabila zima kisha wakuache juu ya mawe.
Mimi kidg karibu nifanane na wewe japo mimi story yangu ni kwenye majina. Nina majina kama matano hivi ambayo wanawake wote ninaotokea kudate nao lazima waangukie kwenye hayo majina, yani hayo majina huwa yananifuata tu. Kila nikidate na mrembo fulani unakuta jina lake lipo kwenye cyle ileile. Cjui kama wanaume wenzangu hii kitu imewakumba au ni mimi tu.Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Hii straight kutoka kwa mchaga mwenyewe.Kuwa makini kuna watu wana tabia wakisha chapa wanasogezea namba mshkaji wake wa nyumbani na tena na tena , haujawaji kusikia wachaga wana tabia ya kubebana na kusaidiana?
Uje niyavunje maana mi siyo mchaga 😜Navunja vp sasa
Kwel kbsaKuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Wakati niko kijana kila nikitongoza ni Mnyaturu, kila nikitongoza Mnyiramba! Singida nimewavulia kofia.Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Unapenda weupe warefu.Wakati niko kijana kila nikitongoza ni Mnyaturu, kila nikitongoza Mnyiramba! Singida nimewavulia kofia.
Hahahha yani hata panya akipita tu utasikia maagano😆Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...
😅😅😅 kuna watu ni kina xavi bwasheeHivi kumbe kuna watu wanapiga assist mpaka kwenye K
Yanatesa sanaMaagano ya ukoo...
Vunja hayo maagano...
kwa hivyo kweny issue yake kuna top scorer and mtoa assist bora😅😅😅 kuna watu ni kina xavi bwashee
Naona roho ya ubishi ndani yako🤣Walokole wana mambo sana!! Ni mwendo wa roho za kichawi, maagano ya shetani, ...
Nawe muhanga?Kwel kbsa