Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,269
Unachokijaribu kukiwasilisha hapa niliwahi kukipitia, Katika maisha yangu nimepevuka wasichana nilio date nao ni wachaga. Wasichana wa makabuka mengine hatukai hata mwezi tushazinguana ila nikipata mrembo wa kichaga Mahusiano yanakaa sana hadi nimejikuta Nauliza kabila la mtu kabla sijaingia sana maana hawa wachaga nimewashindwa ila sasa ndio hao huwa nadumu nao angalau. Ila sasa hivi natafuta dada wa kidigo au Wanyamwezi sema ndio hivyo hiyo Bahati hamna.