Nini husababisha hii kitu?

Nini husababisha hii kitu?

Hahahha yani hata panya akipita tu utasikia maagano😆
kuna UZI p-diddy aliletaga anasema kuna mipanya humo ndani kwake haifi anahisi ina maagano ya kishetani anataka kuikemea

km uamini tafuta ID ya p-diddy zama PROFIRE yake utakua huo UZI aliletaga
 
Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
Hiyo ni bahati nasibu tu
 
Mimi kidg karibu nifanane na wewe japo mimi story yangu ni kwenye majina. Nina majina kama matano hivi ambayo wanawake wote ninaotokea kudate nao lazima waangukie kwenye hayo majina, yani hayo majina huwa yananifuata tu. Kila nikidate na mrembo fulani unakuta jina lake lipo kwenye cyle ileile. Cjui kama wanaume wenzangu hii kitu imewakumba au ni mimi tu.
Meku nipasishie mmoja niwowe
 
Naona roho ya ubishi ndani yako🤣
Nakumbuka nikiwa olevo mama mmoja mlokole alikuwa anauza duka hapo shuleni,

sasa nimeenda dukani kufata bidhaa hizi za shule

Akaanza ooh,, una tatizo inabidi nikusaidie,, mm nimetulia namcheki tuu,, itabidi jumapili uje kanisani nikukutanishe na mchungaji akuombee,,

Kwanza unasali wapi nikamwambia mm nasali RC,, haya ukitoka kanisani maake mnawahi uje tukuombee,,,

Sikufikisha mguu, sikutia mguu nikaona upuuzi mtupu,,

Uache kuombea mumeo uje uniambie una tatizo,,

Hata kama kweli Kuna namna ya kumwambia mtu,,

Sio naona una shida mimi bajaji kwamba tyr limepasuka au

Baadhi yao wana mambo ya hovyo mno
 
Back
Top Bottom