dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,278
- 1,303
TCU nikama madalali sio?TCU hawana kosa lolote na CAS hawana kosa, kilichopo ni changamoto za kushindwa kuelewa mfumo na kuukubali.
Haitatokea kamwe waombaji wote wapate chuo kizuri na kozi nzuri wanazozitaka wakati kuna ushindani, vigezo na ukomo wa udahili. TCU iko kusimamia zoezi zima la udahili na CAS ni mfumo wa udahili unaoweza kurahisisha na kuoanisha zoezi zima la udahili.