Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

Kwahyo kwa mtazamo huo cutting point zitakuwa hazihusiki? Lakini pia tusikimbie ukweli kuwa wanafunzi wote wanakuwa na ndoto ya kusoma vyuo vikubwa tu ambavyo ni udsm,udom, ifm na mzumbe ambapo hata tukichambua zaidi havizidi vitano.
cut off point zitakuwepo ili kuchuja wew na EEE zako nenda juco,tia,cbe,ifm uko watakupokea ila UDSM ,UDOM ,MUHAS,MZUMBE,SUA ni one na two
 
Naweza nikasema ni ujinga tu na kuto kujua mambo kwa mapana CAS na TCU ni muhimu kuliko mnavyo dhani vinginevyo tutarud kule kule kwa dv 4 kidato cha nne anasoma degree
ni ujinga wako wew usiye elewa pole sana ...
 
Nashangaa nini kitatokea bila chombo cha kuunganisha waombaji na vyuo. Utakuta baadhi ya vyuo waombaji ni wengi wakati vingine havina japo vina sifa
utatutajia vyenye sifa ambavyo vimekosa wanafunzi.....
 
Central admision system isifutwe bal ifanyiwe marekebisho tu.

Tukiiondoa bas wanafunzi wengi watakosa chuo na procedure itakuwa ndefu bcz kuna ambao watapata chuo zaid ya kimoja huku wengine wakikosa.

Rais umekosea.
ukikosa chuo njoo nitakupa chuo....
 
cut off point zitakuwepo ili kuchuja wew na EEE zako nenda juco,tia,cbe,ifm uko watakupokea ila UDSM ,UDOM ,MUHAS,MZUMBE,SUA ni one na two
Kwa uelewa wangu mimi tcu kazi yao ilikuwa ni ku allocate wanafunzi kwenye vyuo walivyoomba according to thier cut off points.
 
Mkuu kwani raisi hawezi kukosea? Kwanini umtusi mwenzako?
kosa la jinai kabisa kumtusi mkulu heshimu maamuzi yatolewayo kwa maslahi ya taifa ... nakuheshimu sana ndugu masiya na michango yako na sisi wengine ndo hufanya yote huyaonayo yanaleta mabadiliko ....viva magufuli#.....
 
Kwa uelewa wangu mimi tcu kazi yao ilikuwa ni ku allocate wanafunzi kwenye vyuo walivyoomba according to thier cut off points.
wewe ndo hujuh janja za pale soma thread yote utajua mapungufu ya cas na tcu
 
kosa la jinai kabisa kumtusi mkulu heshimu maamuzi yatolewayo kwa maslahi ya taifa ... nakuheshimu sana ndugu masiya na michango yako na sisi wengine ndo hufanya yote huyaonayo yanaleta mabadiliko ....viva magufuli#.....
Kusema raisi amekosea kwangu mimi si tusi. Binadamu yeyote anaweza kukosea na ndo maana Nyerere ana kitabu cha tujisahihishe. Tuwe wavumilivu katika mijadala hii.
Kingine najua ni watu wengi wana nia nzuri na hutoa maamuzi wakisukumwa na nia hizo lakini ni juu yetu kuangalia kama kweli maamuzi hayo yatatufikisha tunapotaka kwenda. Tunaweza kupingana ni kipi kifanyike lakini tukifikia pakutukanana hatuwezi kuwa na mjadala uliyo nyooka.
Kwa mfano mimi sitafurahishwa na kufa kwa CAS, lakini kama serikali itaamua kuiua tutajadili nini cha kufanya ili hali isiwe ngumu zaidi kwa waombaji.
 
we ulifiri ndalichako alikuwa sahihi kupandisha grades bila mahojiano yoyote ni zaidi ya genocide yanii yule mama wamchunguze lengo lake lilikuwa nini....
Haya mambo tuliyaongelea sana mwaka jana na madhara yake tumeyaona. Mwaka jana walipandisha alama za ufaulu kupitia NECTA na hapo hapo wakapandisha grade za kudahiliwa. Sasa hiyo ndo serikali yetu na akija waziri au raisi mwingine basi nae anaweza kubadilisha atakavyo. Bahati mbaya watendaji wetu hawana kinga yeyote zidi ya maamuzi ya kisiasa hata kama hayana msingi wa sheria.
 
Mjomba tcu haina maana zaidi ya kuregulate standard ya elimu ya juu kazi ambayo wameshindwa vibaya sana. Wakaona bora waongeze ada ya udahili ili wapige pesa baaasi. Wafutweeeeeeeeee

Umedandia hoja. Suala halikuwa kuhusu wajibu wao kwenye quality assurance ila kuhusu role yao kwenye udahili.

TCU anaweza kufutwa ila CAS haiepukiki labda uwe na mfumo wa udahili kama wa Ulaya na America
 
Umedandia hoja. Suala halikuwa kuhusu wajibu wao kwenye quality assurance ila kuhusu role yao kwenye udahili.

TCU anaweza kufutwa ila CAS haiepukiki labda uwe na mfumo wa udahili kama wa Ulaya na America
we endelea kuota wakati udahili wameachiwa vyuo nafikiri ata swala la cut off point pia wachiwe chuo ili wewe mwenye kidivion 3 ukae uko na tumaini yako
 
Grades za kujiunga na chuo hazipangwi na wizara na wala Waziri hana mamlaka yoyote ya kuvipangia vyuo grades. Pili TCU hawapangi grades wala enrolment ya mwanafunzi yoyote, Senate ya chuo husika hufanya hivyo.

TCU walitengeneza common pool ya wanafunzi kuapply chuo kwa mujibu wa sifa ulizonazo ila jukumu la enrolment lilibakia kuwa la chuo husika.

Kama ulikosa chuo ulichokitaka ni kwamba Senate ilikukataa ( taarifa anapewa TCU ya waliochukuliwa) hivyo TCU ikakutafutia mahala pengine walipokukubali.

Hata ungeruhusiwa kuomba moja kwa moja bado Senate ya UDSM ingekukataa vile vile na chuo ungekosa kwa kuwa usingeomba tena popote pale.

Dhana ya kuwa kusoma UDSM ndio umekwenda chuo kikuu ni ya kipumbavu na inapaswa kulaaniwa. Vijana waambiwe kabisa elimu ya chuo inategemea innovation na creativity uliyonayo sio umesoma wapi.
sasa grades anapanga nani kama siyo tcu unajua hili swala bado kiini macho sana grades ziludi tu za zamani kila mtu afanye yake kusoma muwabanie watoto wa watu kazi zenyewe hamna shit elimu ya bongo bhana
 
Kila chuo kiwe na limit no ya kudahili na kuenroll wanafunzi , say wasizidi wanf 500 chuo X nk
na kila chuo wajipangie grades za kuingia chuo siyo kwa matamko kama mama ndalichako
 
Yaani hapoo.....kasema vizurii ila akomae na TAKUKURU maana Rushwa itakayo kuwepo pale UDSM....Rushwa itakayo kuwepo muhas.....Sua Mzumbee sio ya nchii hii.....ada za Vyuo vya private itashuka kuvutia wanafunzi na comption itakuwepo
vigezo ni vilele diploma kwenda degree gpa ya 3 wa A level 4 points katika masomo mawili sijaona wakizunguzia 2D
 
Central admision system isifutwe bal ifanyiwe marekebisho tu.

Tukiiondoa bas wanafunzi wengi watakosa chuo na procedure itakuwa ndefu bcz kuna ambao watapata chuo zaid ya kimoja huku wengine wakikosa.

Rais umekosea.
pole sana utakuja kusema amekose sana kuifuta TMAA
 
Wote tunajuwa kuwa tayari chombo kilichokuwa kikitumiwa katika kudahili wanafunzi wanaojiunga elimu ya juu yaani TCU, kimenyanganywa madaraka hayo na kuanzia sasa wanafunzi watatuma maombi moja kwa Moja katika vyuo wanavyovipenda.

Kwa maana hiyo TCU haina kazi hivyo namuuliza Rais wangu Pombe ni lini ataivunja TCU ili kuepuka waliokuwa wafanyakazi wake ambao kwa sasa wanalipwa pesa bila kazi yoyote wanayofanya?

Nakuomba Rais ufanyie kazi hili jambo waachishwe kazi na kama kutakuwa na uwezekano wapangiwe kazi nyingine kama hamna basi watatusamehe
 
Back
Top Bottom