Siku zote TCU haifanyi kaz ya kumchagulia mwanafunzi Chuo Bali inachokifanya ni kumpa mwanafunzi option ya kuchagua Chuo anachokitaka au kukipenda then yenyewe inakuja inam- direct huyo mwanafunzi katika moja ya Chuo kati ya vile avochagua kulingana na ufaulu wa mwanafunzi kama utakuwa unaendana na vigezo vya Chuo husika. Kwan kila Chuo kina vigezo vyake hakiwezi kupokea wanafunzi ambao hawana vigezo, mfano chuo kama mhimbili akiwezi chukua mtu aliyepata daraja la tatu kusomea udaktari eti tu kwa sababu huyo MTU anataka au anapenda icho Chuo apo utalia utatoa machozi ila hutapata chance, kitu kingine ni carrying capacity ya chuo , mfano unaweza kuta Chuo kinahitaji wanafunzi 200 katka course fulani afu idadi ya walioomba n 450,, ivo chuo hakiwezi chukua wote hao hata km wote wanavigezo sawa, wanaobaki wanapelekw vyuo vingine ila sio nje na vyuo walivyovichagua sababu huwezi MTU mpeleka sehemu ambayo hapendi ndo mana wakaweka machaguo ya vyuo ambapo MTU anajaza vyuo km vitAno ivi anavyoona vinamfaa, ikiwa na maana kwamba huwezi kosa Chuo kati ya ivo vitano vingine ujaze Chuo kimoja tu ktk option zote ulizopewa, na mbaya zaidi umejaza Chuo kimoja tu afu ujaangalia entry requirements za Chuo husika na bado kuna competition mana wanaotaka icho Chuo ni wengi sio wewe pekee, ivo mm sijaona point ya maana kuhusu kuituhumu TCU kuwa inamchagulia mwanafunz chuo