Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

Una uhakika kazi ya TCU ni kudahili wanafunzi wa chuo kikuu tu?
 
Wote tunajuwa kuwa tayari chombo kilichokuwa kikitumiwa katika kudahili wanafunzi wanaojiunga elimu ya juu yaani TCU, kimenyanganywa madaraka hayo na kuanzia sasa wanafunzi watatuma maombi moja kwa Moja katika vyuo wanavyovipenda.

Kwa maana hiyo TCU haina kazi hivyo namuuliza Rais wangu Pombe ni lini ataivunja TCU ili kuepuka waliokuwa wafanyakazi wake ambao kwa sasa wanalipwa pesa bila kazi yoyote wanayofanya?

Nakuomba Rais ufanyie kazi hili jambo waachishwe kazi na kama kutakuwa na uwezekano wapangiwe kazi nyingine kama hamna basi watatusamehe
Kichwa maji kasome tena kazi ya ya TCU... kazi ya TCU ni kusimamia, kucheki,kukagua ubora wa elimu na sifa za wanafunzi elimu ya juu na pamoja na kuhakikisha ubora wa elimu ya juu unazingatiwa..
Kazi ya kufanya udahili ni ya vyuo sio TCU.
 
hongeren MODS kwa ku modoa tolea langu hatma ya tcu safi sana
 
Back
Top Bottom