Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio.
Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia nzuri na hii nchi na hawana ni huruma na watanzania wapo kwa maslahi ya familia zao.
Laiti kama jeshi letu linajitambia na lipo kwa maslahi ya taifa letu basi leo tulipaswa kuona wale wote waliotajwa kwenye kashfa na mh. Polepole wakichukuliwa hatua kabla ya kuchakachua taarifa.
Taarifa muhimu kama kuchezewa mifumo ya uchaguzi ni zaidi ya uahini na watu kama mh jk kuwa sehemu ya serikali ni mbaya sana,kutokana na yanyoendele katika taifa letu.
Pia nimemsikiliza Mh. Dr. Slaa kiukweli inaumiza nikiwa raia wa hii nchi.
Naliamuru jeshi lijitafakari na wananchi tunapaswa kutafakari pia si kila kitu kusubiri ngoja tuone itakuwaje,hawa watu wamejipanga aswa na wameamua kushika utawala ili kuendelea kuficha wizi wao.
Pia nasikia yule bwana anaitwa asasi mwenye dipromatic passport ni mkwe na mh jk. Ambaye ni alitambulishwa na Rais wetu ye ndiyo Boss wake tofauti na sisi kwa mujibu wa katiba.View attachment 3452130View attachment 3452132