Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,087
2,000
Unajua hiyo ofisi ina ukubwa gani Hadi upendekeze iwe zahanati? Kama ni chumba kimoja inawezekanaje kuwa zahanati?

Weka picha ili tuione.
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,832
2,000
Kuna wakati bunge la JMT lilijenga ofisi ndogo ya Spika kule Urambo mkoani Tabora, wakati ule Spika alikuwa rip Sitta, Naibu Spika mama Makinda, KUB Hamad Rashid na KUB msaidizi Dr Slaa.

Nauliza tu kama ile ofisi bado inafanya kazi?

Kama haitumiki ni vema ikageuzwa kuwa zahanati wananchi wahudumiwe.

Maendeleo hayana vyama!
WAulizwe chama tawala
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,509
2,000
Yaweza kuwa Zahanati kwa maboresho kidogo
1263927_URAMBP.jpg
 

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
1,301
2,000
Nadhan miaka 10 ijayo ule uwanja wa ndege kule chato tutageuza Zahanat pia
Mkuu kiongozi UMEFIKA wakati Mambo ya chato ,tuachane nayo kuyajadili ,tunatoa promo isiyokua ya lazima, let them do,as far is part of our tanganyika,kujadili wakati masikio yamezibwa ni kupoteza mda , acha pajengwe hata jumba la dhaabu haina shida Zama huja na pia hupotea tunayo Mambo yetu ya kitaifa,hasa mshikamano wa kitaifa ,katiba mpya, tume huru, haya ndo Mambo ya msingi, Kama hanijui chato KWA Sasa inatumika ili fifisha agenda muhim za kitaifa, na watanzania wenzangu tunaingia kichwa kichwa,that's why leo nimeshangaa ,na majirani wanatushangaa,kwamba prof mzima waziri wa maji anasema mradi wa bil 8 umekamilika chato na wa vijiji vitatu ,wakati tuna mradi TOKA ziwa Victoria kwenda shinyanga,may be up to makao makuu Dodoma unasuasua,
Ki ukweli, ningekua ni mamlaka iliyomteua huyu waziri ,leo alitakiwa hasiwe ofisin, bil 8 kwamba hatujaona miradi ya maji,au anatuona wapumbavu,ila Kama mungu yupo, na Kama haishivyo basi mungu aseme nae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom