Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Yaani hii nchi kuna mambo ukiyatafakari sana utaishia kupiga magoti na kuomba toba kwa mwenyezi Mungu.

Sasa hayati Sitta alijenga ofisi ya Spika jimboni kwake Urambo kwa maslahi ya nani wakati haitumiki?

Ngoja niishie hapo!
Comrade, viongozi wa Chadema ndivyo walivyo wabinafsi. Kuna mwana Chadema mwingine kajijengea hadi airport kule Chato!
 
Yaani hii nchi kuna mambo ukiyatafakari sana utaishia kupiga magoti na kuomba toba kwa mwenyezi Mungu.

Sasa hayati Sitta alijenga ofisi ya Spika jimboni kwake Urambo kwa maslahi ya nani wakati haitumiki?

Ngoja niishie hapo!
Huelewi kuwa hiyo ndiyo sera yenu ya CCM kujilimbikizia mali kwa dhuluma na wizi! Kama shetani mtu Magufuli aliweza kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa na Ikulu kijijini kwake Chato, nini cha ajabu hapo?
 
Yaani hii nchi kuna mambo ukiyatafakari sana utaishia kupiga magoti na kuomba toba kwa mwenyezi Mungu. Sasa Hayati Sitta alijenga ofisi ya Spika jimboni kwake Urambo kwa maslahi ya nani wakati haitumiki?

Ngoja niishie hapo.
Shida ya kufikiri madaraka hayana ukomo. Shida kufikiri Tanzania ni ya walio kwenye madaraka tu. Shida ya kufikiri kazi za umma ni kama kuendesha familia binafsi.
Tujifunze kuwa wanyenyekevu. Tujifunze kujua Tanzania ni kubwa kuliko wana siasa na mambo au familia zao
 
Yaani hii nchi kuna mambo ukiyatafakari sana utaishia kupiga magoti na kuomba toba kwa mwenyezi Mungu. Sasa Hayati Sitta alijenga ofisi ya Spika jimboni kwake Urambo kwa maslahi ya nani wakati haitumiki?

Ngoja niishie hapo.
Nchi hii ina maajabubmengi sana;
1. Kusafirisha twiga na zisionekane
2. Kuweka traffic light kijijini
3. Kujenga uwanja wa ndege kwa ajili ya mtu mmoja
 
Mimi mwenyewe huwa sielewi ilikuwaje Magu akachota pesa milioni 38 kwenda kumtoa Jela Peter Msigwa ( kwamba ni Ndugu yake )

Wakati angeweza kumsamehe tu kwasababu alikuwa mfungwa tayari.
Mimi najiuliza kwa nini ATCL, TTCL na mashirika mengine ya umma walikuwa wanatoa gawia feki kwa serikali yaani mzalendo namba moja anawapa pesa gizani halafu wanakuja kumrudishia mbele ya kamera na mic kama kama gawio kwa serikali
 
Back
Top Bottom