Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

Tunajadili hili kwa sababu mzee wetu sita katutoka ila kama tutakuwa na uwanja wa ndege mkubwa na hakuna ndege ya kutua tutageuza kuwa kitu gani?
 
mi sijaelewa yani kwamba ilijengwa kwa ajili ya matumiz ya maspeakers wote ama? yeye tu kipind ni spika au kila spika jimboni kwake kunakuwa na ofisi? nielewesheni wakuu please.
 
Jamani hii nchi haiishi viroja

Yaani ofisi ilijengwa Urambo? Kwa kweli hili ni jipya kabisa masikioni mwangu na bila shaka jamaa alidhani atakuwa Spika wa kudumu

Yaani ni wizio mtupu huu, hata ukipakwa rangi gani bado utabakia kuwa wizi na kushindwa kujua vipaumbele vya taifa
hatari
 
Ushahidi mwingine kuwa hawa wangine tunawachekea lakini nao ni hatari, yeye alijua atadumu kwenye usipika kama Chifu Adamu Sappi Mkwawa! Na haya yote yalifanyika mbele ya macho ya maccm bila hata kutia neno!
ndio hapo sasa
 
Kwa sasa atatumia Magret, bila shaka itakuwa ni ofisi ya Mbunge siyo spika.
 
Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?

napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma
Hii habari ni ya kweli au tuna piga tu maneno hapa? Weka picha tuone
 
Jamaa hiyo ofisi atatumia mbunge wa sasa lakin hii silikua program ya kujenga ofisi kila jimbo ili kuleta hadhi ya wabunge wetu tofauti na sasa ofisi za wabunge wetu wengi wao vichekesho
 
Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?

napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma

Weka picha ili tuitathmini kama iwe zahaati, kituo cha afya au hospitali, au kama vp ofisi ya umma
 
Back
Top Bottom