Hiyo ofisi inatumika kupigia majungu.
Hoja zingine majibu yake yanahitaji kutulia na kuwahusisha wahusika.
No wonder the country is backsliding kwa sababu watu kama nyinyi mpo. Yaani hujaona tatizo hapo na unatetea as if ni sawa tu?Acha majungulism babu aliwashika vizuri!........me naona hakuna shida mbona chalinze yalijengwa magorofa ambayo hata wakaaji kulikuwa hakuna Enzi zile? swala la msingi hiyo ni ofisi ya serikali siyo ya mtu binafisi......na kaa ukijua wakati ule hakuwa na ofisi ya maana sasa alipopata uspeaker ndo alipoona ni vyema ajenge ofisi ya mbunge ambayo ilitafasiliwa kuwa ni ya spika na watu kama wewe......mpaka sasa ofisi hii ni ya mbunge!
Kwa ajili ya kumbukumbu: Jengo hili ni ofisi ya Mbunge na si ofisi ya SpikaMwishoni mwa uspika wa Samwel Sitta, serikali ilijenga ofisi ya spika wa bunge Urambo Tabora ambako ni jimboni kwa spika wa wakati huo mheshimiwa Samweli Sitta. Maswali yangu ni haya:
1. Samweli Sitaa siyo spika tena. Je anaitumia ofisi hiyo au hapana? Na kama ndio anaitumia kama nani na kwa shughuli z
zipi?
2. Spika wa sasa Anna Makinda ameshaitumia ofisi hiyo mara ngapi? Na kama haitumii ni kwanini?!
3. Je utaratibu wa kujenga ofisi kwenye kila jimbo analotoka spika utaendelea?
4. Je ilikusudiwa Sitta awe spika wa kudumu mpaka kufa kwake?
5. Kama ofisi hiyo haitumiki na spika aliyepita na aliyepo ni ya nini? Inafaa kuendelea kuwepo? kwanini isigeuzwe darasa
shule au ghala la kuhifadhia asali?
halafu naye anataka kuwa rais Samweli Sitta hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa maana ni fisadi sasa akiwa rais si atasema Ikulu ijengwe URAMBO?poor sitta wewe ni fisadi wa raslimari za taifa urais si saiz yako
Mwishoni mwa uspika wa Samwel Sitta, serikali ilijenga ofisi ya spika wa bunge Urambo Tabora ambako ni jimboni kwa spika wa wakati huo mheshimiwa Samweli Sitta. Maswali yangu ni haya:
1. Samweli Sitaa siyo spika tena. Je anaitumia ofisi hiyo au hapana? Na kama ndio anaitumia kama nani na kwa shughuli z
zipi?
2. Spika wa sasa Anna Makinda ameshaitumia ofisi hiyo mara ngapi? Na kama haitumii ni kwanini?!
3. Je utaratibu wa kujenga ofisi kwenye kila jimbo analotoka spika utaendelea?
4. Je ilikusudiwa Sitta awe spika wa kudumu mpaka kufa kwake?
5. Kama ofisi hiyo haitumiki na spika aliyepita na aliyepo ni ya nini? Inafaa kuendelea kuwepo? kwanini isigeuzwe darasa
shule au ghala la kuhifadhia asali?
Kwa ajili ya kumbukumbu: Jengo hili ni ofisi ya Mbunge na si ofisi ya Spika
Naomba kujuzwa ofisi hiyo ilijengwa kwa fedha zipi!...je iliwekwa kwenye bajeti ya Bunge au ni fedha za mfuko wa jimbo?
Hiyo ofisi inatumika kupigia majungu.
Kwa hiyo kabla ya ofisi hii kujengwa hakuwa na ofisi kama mbunge? Na je kwanini ajengewe yeye tu mbona hatujasikia mwendezo wa wabunge wengine kujengewa ofisi mbali ya kutumia majengo mengine ya serikali katika makao makuu ya wilaya au mkoa?Kwa ajili ya kumbukumbu: Jengo hili ni ofisi ya Mbunge na si ofisi ya Spika