Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,249
- 134,218
Hoja ya kuhusu hao vijana kulipwa ameitoa Fr. Kitima, au umeitoa wewe? Jibu wewe.Kamuulize Father Kitima anajua.

Haya maelezo yanahitaji uthibitisho kutoka kwako. Na siyo Fr. Kitima ambaye hahusiki nayo.Ndio waliokuwa wanalipa vijana wafanye vurugu ambayo ndio ilileta hayo mauaji.
Huwajui polisi wewe, nadhani hujawahi kuwa kwenye mikono ya polisi wa Tanzania. Usingeandika huu utumbo.Mi naona kama polisi wa tz wana huruma flani hivi
Hawa sijui ni wa wapi
Kama kweli ayo yalitokea kunasababu Gani yeye kuyasema sasaivi wakati Nchi inaelekea kuponya majeraha.Mpango wa TEC ni kutetea Watanzania wote wa dini zote, kila daraja, vijana, wazee na wasio na sauti.
Walipokea majeruhi wakataka kuwatibu wakaambiwa wapelekwe mochwari. Unajua maana yake? Kuzika au kuwamaliza watu walio hai?
Kula ignoreBinafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
HUWEZI KUELEWA,KWASASA HUNA AKILI HIYO.Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Redio unakosea sana. Unapataje utulivu, amani kama huwezi kuzika mpendwa wako?Kama kweli ayo yalitokea kunasababu Gani yeye kuyasema sasaivi wakati Nchi inaelekea kuponya majeraha.
Kuna vitu havisemwi si kwasababu mtu anaiogopa serikali hapana, ila kwakua ukivisema kwa Sasa ni kutia petrol kwenye moto unao elekea kuzimika.
Kitima hakuvisema kwa bahati Mbaya amekusudia kuleta taharuki.
Usi fikiri watu wamefurahia jinsi serikali ilivyo Fanya kabla na baada ya uchaguzi ila kwasasa wenye akili wote focus Yao ni upatikane utulivu kwanza na baada ya muda tuelezane ukweli.
Watu wanajua mambo mengi ya hovyo yaliyofanyika lakini kwa Hali iliyopo Sasa ukiyaweka wazi ni kutaka ku iripua Nchi.
Nchi kwanza mengine baadae.
Vitendo vya maandamano ya kijambazi ndio vilipelekea vyombo kutumia silaha za moto.Redio unakosea sana. Unapataje utulivu, amani kama huwezi kuzika mpendwa wako?
Kama hujui nani alimuua mtoto wako, hujui ukweli, unaponyaje Taifa? Moyo wa binadamu unahitaji majibu kutulia.
Father Kitima anawakilisha mioyo ya wapendwa wetu, sauti ya wafiwa wote Watanzania wa dini zote, kabila zote, vijana na wazee wote. Ni sauti ya busara, hekima, Mungu.
Wengine wote, wananchi wote mmewafungia. Mnateka tukisema msituteke, tuna9mba haki, umoja mnatuua. Kitima mlitaka kumuua.
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Maandamano yapo duniani kila wiki London, Paris, New York.Vitendo vya maandamano ya kijambazi ndio vilipelekea vyombo kutumia silaha za moto.
Bila silaha za moto kutumika mpaka Sasa DAR ingekua jivu.
Maharamia wa maandamano na uporaji yalipelekea ata wasio husika kupigwa Risasi.
Apa amna wa andamanaji zaidi ya wezi wanao haribu uwekezaji wa raia.Maandamano yapo duniani kila wiki London, Paris, New York.
Yanaongozwa na Stewards, Security, polisi. Kwanini tusifanye kama wenzetu?
Kwanini yasingeongozwa na polisi, jeshi, kulinda waandamaaji na mali za raia?Apa am
Apa amna wa andamanaji zaidi ya wezi wanao haribu uwekezaji wa raia.
Kwa namna maandamano yalivyo fanyika imetia doa maana mzima ya maandamano.
Lengo la interview hii kati ya katibu wa TEC na mwandishi wa habari, si jingine bali ni kutolea maelezo ya ziada tamko la Baraza la Maaskofu wa Kanisa Catholic walilolitoa wiki chache zilizopita kulaani mauaji ya halaiki ya trh 29/10 na kupendekeza njia ya kufuata kwenda mbeleBinafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kaka wmbu tutolee theory za kijinga. Kaa waumin wa catholic wangeamua wangewakataa tokea kipindi cha jkHuyo Padre Kitima na Rais wa TEC nafikiri wako kwenye Payroll ya Ford Foundation lakini nafikiri hawajui vizuri waumini wa RC huwa hawapelekeshwi na matamko ya kigaidi watawaacha solemba tu. Wao waendelee tu na ugaidi wao.
Mtu maishe yake yote ni punyeto atakuwa vipi na akili fala yulePadre Kitima uwezo wake ni level nyingine ...