Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

Kikubwa kapinga watu wasitekwe
Jamani msiteke watu
Msiteke watu jamani
Bora kuwasikiliza na kuwapuuza kuliko kuteka

Jamani wengine wanategemea na msururu wa watu nyuma

Mi nafikiri cha kwanza watu wasitekwe

Tafadhal serikali tafuteni wanaoteka watu ni kina nani
Mi siamini na sitaamini kama ni seriakali inateka watu wake
Soka alikua anamlea bibi yake
Mtu kama gwajima,kitine na pole pole ukiwateka unawala tigo kwanza
 
Mpaka mkiri makosa na uwajibikaji

Tukitaka kupoa tunaliamsha tena, Bado Gwajiboy hajazungumza
 
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.

Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.

Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?

Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.

Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.

Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kesho mama yenu inabidi abadikishe script
 
Mama yenu alishaandikiwa script ila itawabidi wakeshe tena kupangua *****
 
Yeyote anayekemea haya yuko upande wa wananchi, hatutajali mnamchukuliaje, kweli lazima ishinde.

Tumechoka viongozi waongo, uongo wao unaanzia kwenye uharamu wa uchaguzi, viongozi ni zao la uongo.

Btw, utekaji /ukamataji holela haujaisha. We are very unhappy with this government.
 
Kwa mtu mwenye busara hatakiwi kusema hivyo wakati huu kumbuka kuna watu wamechomewa mali zao na kuibiwa pia usije ukafikiri wakisikia maneno ya huyu Padre watafurahi watataka nao walipize kisasi. Maneno kama haya ndiyo yalileta mauaji ya Kimbali Rwanda kwa mapadre wasiyokuwa na busara kama huyu Padre Kitima.

Kwenye vurugu zozote lazima kuna watu wasiyojua kitu hufa kwahiyo siyo kigeni. Yeye anapashwa kutoa maneno ya kuponya kwa sasa hivi lakini kwa kuwa yuko kwenye payroll yq Ford Foundation lazima asema anachosema ili awafurahishe watoa pesa.
Hiyo Ford foundation kama ipo kweli, Iwaongezee posho na marupurupu hawa watu.

Watu mnalipwa na CCM kutetea uongo na mauaji, kwanini hawa wanaotetea wananchi wasilipwe? Who are these angels named Ford?
 
Kama kweli ayo yalitokea kunasababu Gani yeye kuyasema sasaivi wakati Nchi inaelekea kuponya majeraha.
Kuna vitu havisemwi si kwasababu mtu anaiogopa serikali hapana, ila kwakua ukivisema kwa Sasa ni kutia petrol kwenye moto unao elekea kuzimika.
Kitima hakuvisema kwa bahati Mbaya amekusudia kuleta taharuki.
Usi fikiri watu wamefurahia jinsi serikali ilivyo Fanya kabla na baada ya uchaguzi ila kwasasa wenye akili wote focus Yao ni upatikane utulivu kwanza na baada ya muda tuelezane ukweli.

Watu wanajua mambo mengi ya hovyo yaliyofanyika lakini kwa Hali iliyopo Sasa ukiyaweka wazi ni kutaka ku iripua Nchi.

Nchi kwanza mengine baadae.
Ukimya unawapa faida wale walio guilty, usifundishe watu ukimya wa kipumbavu.

Yeyote anayeweza kuchochea moto aendelee kuchochea. FYI hakuna jeraha lililopona, hakuna maumivu yaliyoanza kusahaulika. Yamkini mtu haujafiwa na ndugu lakini waliouawa ni watanganyika wenzetu, sote ni ndugu katika ardhi ya tanganyika, tuache tugrieve usitake kudictate hadi hisia za watu, kwamba wajisikiaje kwa wakati gani.
 
Kwanini yasingeongozwa na polisi, jeshi, kulinda waandamaaji na mali za raia?
Maandamano wakati Yana Anza walikuwepo polisi na Jeshi yalipo badili msimamo na kuanza uhalifu na polisi Waka Anza kutekeleza majukumu Yao.
 
Ukimya unawapa faida wale walio guilty, usifundishe watu ukimya wa kipumbavu.

Yeyote anayeweza kuchochea moto aendelee kuchochea. FYI hakuna jeraha lililopona, hakuna maumivu yaliyoanza kusahaulika. Yamkini mtu haujafiwa na ndugu lakini waliouawa ni watanganyika wenzetu, sote ni ndugu katika ardhi ya tanganyika, tuache tugrieve usitake kudictate hadi hisia za watu, kwamba wajisikiaje kwa wakati gani.
Hakuna anaye kataza watu wasihuzunike, kuhuzunika ni sahihi ila lazima tuwe wa kweli.
Kuna vijana waliandamana kupora mali za watu na wakapata haki Yao ya Risasi na wao walio Fanya vurugu za uporaji walisababisha wasio husika ku umia pia.

Wengi hatukupendezwa na uminywaji wa haki lakini ayo yote yamesha tokea, Father Kitima kuendelea kuongea mambo ayo maana yake anataka Revenge.

Revenge anayotaka Father Kitima itaongeza vifo na Bado Serikali haita ondoka madarakani.

Kauli za Father Kitima ni za kumwagia Mafuta moto ulio Anza kuzimika ila kwa hakika hatofanikiwa.
 
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.

Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.

Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?

Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.

Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.

Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kitima ameweka wazi kila kitu, anahimiza watawala kuwajibika kwa matukio ya kabla, wakati na baada ya "uchaguzi "
Unakosea kumfananisha na aliyesema "tutakatana vichwa"
 
Maandamano wakati Yana Anza walikuwepo polisi na Jeshi yalipo badili msimamo na kuanza uhalifu na polisi Waka Anza kutekeleza majukumu Yao.

Maandamano duniani kanuni ni moja. Màandamano yanafanyika kila weekend capitals zote za ulaya. Hakuna aliyekufa, never mind 10,000 kuuuliwa siku moja.
 
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.

Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.

Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?

Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.

Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.

Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Mbona Mimi sijaona uchochezi wa kidini hapo?
 
Nongwa anaipenda yule aliyeua watu, inakuwaje mnaona maneno ni mabaya kuliko mauaji?
Kwani vyombo vya usalama viliamka tu na kuanza kuua? Hao watu wasingefanya uhalifu ule, kungetokea mauaji yoyote? Kwanini mnakwepa sababu ya msingi iliyopelekea yote hayo? Yaani watu wameamua kukata vidole Watanzania wenzao kisa tu wamepiga kura then hao watu mnawateteaje?

Watu waliojidhatiti kuchoma kinyerezi power plat, oil depos, tcra, magufuli bus terminal, bandari nk, mnapataje nguvu ya kuwatetea? Hizi ni akili gani mnazotumia kuwatetea? Umewaza kama mngekuwa na nchi gani kama maeneo nyeti hayo yangechomwa? Ni watu wangapi wangekufa kama yale matenki ya kigamboni yangechomwa kama walivyotaka? Umejiuliza hali ingewaje kama bandari ingekuwa imeteketea? Acheni kufuata mkumbo kwani hakuna anayefurahia mauaji ila hatua zilichukuliwa "necessarily " kuepusha nchi kuteketea zaidi.

NB: maneno yake ni mabaya kipindi hiki kwasababu yanaweza kuleta taharuki nyingine badala ya kuzuia.
 
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.

Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.

Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?

Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.

Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.

Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kuna mahali ameongelea udini?
 
Back
Top Bottom