Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

Kaka wmbu tutolee theory za kijinga. Kaa waumin wa catholic wangeamua wangewakataa tokea kipindi cha jk

But here we are, watu wanawasikiliza na church wanaenda kama kawa

Wamenyoooka black is black , white is white

Mambo ya ford foundation ukiambiwa uka prove can you?
Mambo ya Ford Foundation ushahidi anao Madenge alishatoa tayari kamuulize yeye. Waumini wa RC hatuendeshwi na wanaharakati wakina Padre Kitima tunatumia akili tulizopewa na Mungu yeye kama anataka aingie kwenye siasa kama alivyofanya Padre Slaa.
 
Najua hujui lolote, ww huwa nakujua ni bendera fuata upepo. Nimekuuliza bila shaka maana najua uwezo wako ni mdogo katika mambo haya. Na wajinga wa aina yako ndio Mwigulu anawataka.
Endelea kunijua hivyo hivyo!!
 
Hakuna anaye kataza watu wasihuzunike, kuhuzunika ni sahihi ila lazima tuwe wa kweli.
Kuna vijana waliandamana kupora mali za watu na wakapata haki Yao ya Risasi na wao walio Fanya vurugu za uporaji walisababisha wasio husika ku umia pia.

Wengi hatukupendezwa na uminywaji wa haki lakini ayo yote yamesha tokea, Father Kitima kuendelea kuongea mambo ayo maana yake anataka Revenge.

Revenge anayotaka Father Kitima itaongeza vifo na Bado Serikali haita ondoka madarakani.

Kauli za Father Kitima ni za kumwagia Mafuta moto ulio Anza kuzimika ila kwa hakika hatofanikiwa.
Hata kama mnalipwa au mnanufaika na utawala, mnawezaje kuongea huu upuuzi?
 
TEC kunakitu wanataka kitokee ila baada ya kuona wahamasishaji Wana feli, Wamekuja na uo mpango wa kumwita mwandishi na kujifanya anahojiwa.
Ujumbe wa TEC upo wazi , wanahitaji maandamano ili serikali ipinduliwe.
Kuna Maneno yametamkwa katika mahojiano ya father Kitima ni ya ki mkakati wa kupandisha wananchi hasira na kuyakumbuka mauaji waliyo Anza kuyapotezea.

Maana yake anachochea hasira na maandamano.

Anasema vijana wasikilizwe madai Yao na waraka uo ukiusoma unadai kuto itambua serikari n.k

Kitu ninacho amini ikiwa TEC na Father Kitima mpango wao wa maandamano ya kuipindua serikali uki kwama watakuja na plan nyingine muda si mrefu.

Nawaomba wale wa Dini ya upande wa pili kwasasa watulie, wamesha jionea namna wenzao wanavyo force vurugu.

TEC na Kitima hawatafanikiwa ni swala la muda tu.

Iyo Dini ya upande wa pili illkiweza kustahimili tu, ili jambo litakufa kifo cha Asili na Nchi itarudi kuwa shwari.

Nashauri hotuba ya Rais atakapo kutana na wazee wa DAR asiwagusie kabisa TEC afanye kama hajasikia ita ongeza utulivu.

TEC Wamekuja ki mkakati wanataka majibizano na Serikali kuleta taharuki na vurugu.
Wewe jamaa una conspiracy theory ya kipumbavu sana, halafu unajiona una akiiili... kumbe lijinga tu.

Eti TEC wanaamsha hasira za watu kuhusu mauaji ambayo tayari raia wameanza kuyapotezea, kwa hiyo kumbe lengo la lenu ni kuwasahaulisha mauaji ya ndugu zao mliyoyafanya pasipo kuwawajabisha wahusika wa mauaji hayo?

Kama ni hivyo basi tuwashukuru sana TEC wanafanya kazi ya Mungu ya kuhakikisha haki inapatikana kwa uonevu na unyama ambao serikali hii haramu imeufanya kwa raia wake.

Tatizo nyie wapumbavu mnalazimisha amani iwepo wakati mmeliumiza taifa na mnataka kila mtu awe mjinga kwa kukaa kimya kama hamna kilichotokea.. nyie hamuwezi kunyamazisha watu 67m wote, hamuongozi msikiti mnaongoza taifa lenye watu wenye upeo tofauti tofauti vilaza nyie.
 
Back
Top Bottom