Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,225
- 138,690
Lengo ni kusema qliyoyasema. Waumini wanatekwa, wanauliza, wanafungwa magereza. Ni kanisa la kipuuzi pekee linaweza kunyamaza
Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Huyo Padre Kitima na Rais wa TEC nafikiri wako kwenye Payroll ya Ford Foundation lakini nafikiri hawajui vizuri waumini wa RC huwa hawapelekeshwi na matamko ya kigaidi watawaacha solemba tu. Wao waendelee tu na ugaidi wao.Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
RC Kule DRC na Rwanda limeshiriki sana tu kwenye mauaji ya Kimbali kwa hiyo usiwaamini sana hao viongozi huwa wananunuliwa sana tu kwani hukumbuki kwenye issue ya kina Rwegamira maaskofu walipokea pesa za rushwa.Lengo ni kusema qliyoyasema. Waumini wanatekwa, wanauliza, wanafungwa magereza. Ni kanisa la kipuuzi pekee linaweza kunyamaza
Padre Kitima kataja dini gani?Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Huyo Padre Kitima na Rais wa TEC nafikiri wako kwenye Payroll ya Ford Foundation lakini nafikiri hawajui vizuri waumini wa RC huwa hawapelekeshwi na matamko ya kigaidi watawaacha solemba tu. Wao waendelee tu na ugaidi wao.
Seriously you think the GTs in here will fall for thatRC Kule DRC na Rwanda limeshiriki sana tu kwenye mauaji ya Kimbali kwa hiyo usiwaamini sana hao viongozi huwa wananunuliwa sana tu kwani hukumbuki kwenye issue ya kina Rwegamira maaskofu walipokea pesa za rushwa.
Halafu utakuta waamini msikitini kwenu wanakuona bonge la kichwa yaani!RC Kule DRC na Rwanda limeshiriki sana tu kwenye mauaji ya Kimbali kwa hiyo usiwaamini sana hao viongozi huwa wananunuliwa sana tu kwani hukumbuki kwenye issue ya kina Rwegamira maaskofu walipokea pesa za rushwa.
MWIGULU ndio kaanza kumchokoza, nashauri sana Mwigulu afungwe speed governor ataharibu huyu. Huwezi kutumia mkutano binafsi na Ndugu zako wa mkoa mmoja then useme ni TEC.Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Wewe ni mkatoliki wa wapi unayemtambua Father Dr. Charles Kitima kama Askofu, badala ya Padre na pia Katibu mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania yaani TEC?Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Kwa mtu mwenye busara hatakiwi kusema hivyo wakati huu kumbuka kuna watu wamechomewa mali zao na kuibiwa pia usije ukafikiri wakisikia maneno ya huyu Padre watafurahi watataka nao walipize kisasi. Maneno kama haya ndiyo yalileta mauaji ya Kimbali Rwanda kwa mapadre wasiyokuwa na busara kama huyu Padre Kitima.Watu wameuliwa, wametekwa, wamejeruhiwa, wametupwa magereza na mashimo mengine wakiwa hai .
Ulitaka aseme nini kuliponya Taifa?
Wewe ungekuwa upo timamu,hujalamba asali ungesema nini?
Kwa mtu mwenye busara hatakiwi kusema hivyo wakati huu kumbuka kuna watu wamechomewa mali zao na kuibiwa pia usije ukafikiri wakisikia maneno ya huyu Padre watafurahi watataka nao walipize kisasi. Maneno kama haya ndiyo yalileta mauaji ya Kimbali Rwanda kwa mapadre wasiyokuwa na busara kama huyu Padre Kitima.
Kwenye vurugu zozote lazima kuna watu wasiyojua kitu hufa kwahiyo siyo kigeni. Yeye anapashwa kutoa maneno ya kuponya kwa sasa hivi lakini kwa kuwa yuko kwenye payroll yq Ford Foundation lazima asema anachosema ili awafurahishe watoa pesa.
DuhWewe ni mkatoliki wa wapi unayemtambua Father Dr. Charles Kitima kama Askofu, badala ya Padre na pia Katibu mtendaji wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania yaani TEC?
Toa mawazo yako ndugu mwona mbali!Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Press ya kiswahili na simple hivyo hujaelewa .....ingekuwa ya kingereza sasa .......MKUU acha kurukaruka ,huwezi badilisha uongo kuwa ukweli,kwa kusema walitoka nje...wlilipwa kuandamana,....Sijui nini....Samuya lazima awajibishweBinafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10.
Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9.
Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa kidini kuelekea D9 na watu wote wenye dini na wasio na dini wakawa kitu kimoja. Sasa from nowhere anaibuka Kitine na kuanza kuongea tena?
Binafsi sijajua lengo la hii kitu, naona anaenda kuamsha tena uhasama wa kidini ambao ulishazikwa kuelekea D9.
Binafsi naona uhasama wa kidini na machafuko ya kidini tena na sio against serikali ambayo Binafsi nayaunga mkono.
Kwa hii movie ya leo, viongozi wa TEC wametukosea sana watanzania. Mungu atusaidie na kutuepusha juu ya agenda ya viongozi wetu wa TEC.
View attachment 3510178
Hapa RC ni tofauti na huko, hapa wanasema ukweli, na kutaka watu waliou watanzania wawajibike. Una lingine kwa ufafanuzi wa ziada?RC Kule DRC na Rwanda limeshiriki sana tu kwenye mauaji ya Kimbali kwa hiyo usiwaamini sana hao viongozi huwa wananunuliwa sana tu kwani hukumbuki kwenye issue ya kina Rwegamira maaskofu walipokea pesa za rushwa.
Ukiwa neutral, hebu niambie nikuelewe kitu gani kibaya amekisema zaidi ya kutafuta muafaka wa taifa?
Muafaka huwa hautafutwi kwa kuegemea upande mmoja waadhirika wapo walioibiwa na kuchomea mali zao na hao wafanya vurugu, kuwa neutral alipashwa kuongelea hii issue generally siyo kama alivyoongea akiwaongelea wafanya vurugu tu.Ukiwa neutral, hebu niambie nikuelewe kitu gani kibaya amekisema zaidi ya kutafuta muafaka wa taifa?