Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,893
- 132,797
Hao Ford foundation ndiyo waliokuwa wanawapiga na kuwaua maelfu wananchi kwa risasi za moto siyo ile tarehe 29!Huyo Padre Kitima na Rais wa TEC nafikiri wako kwenye Payroll ya Ford Foundation lakini nafikiri hawajui vizuri waumini wa RC huwa hawapelekeshwi na matamko ya kigaidi watawaacha solemba tu. Wao waendelee tu na ugaidi wao.
Ndiyo hao hao wanaotrka raia na kuwaua kila siku! Ndiyo hao hao waliopika yale matokeo ya uchaguzi feki wa tarehe 29!