Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

Pia aliwahi kuwa IGP!! Yaani uwe IGP then mkurugenzi wa TISS ndani ya miaka isiyozidi 20 polisi wasikutambue..Hapana huo ni uongo naungana na ww

..Imran Kombe hakuwahi kuwa Igp.

..alitokea jeshini kwenda kuwa mkuu wa usalama wa taifa.

..jeshini aliongoza brigade ktk vita vya kagera.

..vita vilipokwisha akateuliwa kuwa Mnadhimu mkuu wa Jwtz, na baadae akahamishiwa usalama wa taifa.
 

Wale vijana wenzangu wa zamani nadhani mnakumbuka hii kesi iliyoleta taharuki katika taifa

Credit:mwananchi
 
Aisee Ile gari 'iliyoibiwa' ilitangazwa Radio One kama mwezi hivi kabla ya Kamanda kumwagiwa risasi akiwa kanyoosha mikono alama ya kujisalimisha
 
Huu ni uzushi wa mtaani tu. Aliuawa kwa sababu ya ujinga wa polisi wetu kufyatua risasi hovyo hata kwa watu wasio tishio. Infact bado kuna watu wengi wanauawa katika mazingira kama haya na kila siku habari zao zinatolewa.
Syo Kwa General Director mkuu kwamba nchi hii polisi wa Tanzania hamfahamu DG,????? Tena police wa Dar haiwezekani hata kidogo ilipangwa pengne
 
Back
Top Bottom