imran kombe

Imran Hussein Kombe (died 30 June 1996) was a Tanzanian military and intelligence officer. During the Uganda–Tanzania War of 1979, he commanded the Tanzania People's Defence Force's 201st Brigade as it invaded Uganda. From 1980 until 1983, he served as TPDF Chief of Staff, before being made Director of the Tanzania Intelligence and Security Service. He held the latter post until 1995. He was shot and killed by police the following year after they mistook him for a car thief.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

    Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe aliyeuawa kwa kupigwa risasi Juni 30 mwaka 1996. Kumekuwepo na nadharia ya ulaji njama (conspiracy theory)...
  2. Greatest Of All Time

    Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Wakuu wa jukwaa hili, ni takribani miaka 32 sasa imepita tangu Mkurugenzi mstaafu wa Idara ya Usalama, Luteni Jenerali Imran Kombe alipouwawa na askari polisi mkoani Kilimanjaro. Mengi yamezungumzwa, je ni nini kilitokea na kujiri mpaka 'deep state' ikaamua kumnyamazisha aliyekuwa boss wao...
  3. M

    Judgement kesi ya General Imran Kombe

    Tafadhali Watanzania na wana JF, naomba mwenye Judgement (criminal) ya kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anisaidie, nina shida nayo ndani ya siku mbili hizi. Huyu jamaa, inasemekana aliuwawa na Polisi walihukumiwa kifungo. Lakini nina haha kupata hukumu yao bila mafanikio...
  4. Jagermaster

    Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

    I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes. Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money...
  5. EasyFit

    Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

    Rais Jakaya Kikwete amewaachia huru askari polisi wawili Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo mwaka 1998 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa makusudi Mkurugenzi wa zamani wa Usalama wa Taifa, Luteni Jenerali Imran Kombe. Wamekuwa gerezani...
Back
Top Bottom