Wataalam wa Ujenzi: nyumba kama hii unaweza kugharimu kiasi gani?

skate-board

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
489
575
Habari wajenzi, ninataka kufahamu gharama za kujenga nyumba kama hii apa kuanzia msingi hadi kupaua tu inaweza kugharimu kiasi gani?

Mazingira niliyopo kwa boma msingi utakuwa wa mawe na tofali za kuchoma,tofali zitajengewa kwa cement, bati ziwe za migongo midogo.

Screenshot_20230619-234320.jpg
 
Hongera sana classmate, Mungu akusimamie na akuongoze umalize Bangalore mujarab kabisa
 
Daaah nimeipenda sana hii ramani. Ukubwa wa uwanja kukidhi hii nyumba ni mita ngapi mkuu
 
Walau ungerweke ukubwa kwa sq.m mtu angeweza kujupa rough estimates zenye mashiko, ila kwa muonekano wake haiwezi kukosa 150-180sq.m. Sio nyumba ndogo hata kidogo.

Uwanja upo vipi, kwenye muinuko au tambarare?

Ujenzi unafanyika mkoa gani?

Watu wakijua hivyo ni rahisi kutoa makadirio.
 
Back
Top Bottom