Gharama za ufundi nyumba ya vyumba vitatu

Amanitwin

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,370
1,582
Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.

Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
  • 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
  • public toilet 1
  • sitting room
  • jiko
  • store
  • laundry ndogo
  • kaofisi kadogo
Nyumba ina square meter 150 (10*15)

Karibuni wakuu mfunguke.
 
Unatarajia kujenga wapi mkuu, gharama za ujenzi hutofautiana kati ya eneo na eneo.
 
Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.

Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
  • 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
  • public toilet 1
  • sitting room
  • jiko
  • store
  • laundry ndogo
  • kaofisi kadogo
Nyumba ina square meter 150 (10*15)

Karibuni wakuu mfunguke.
Wapo wa mkoani kwa 3.2 M, hapo huibiwi hata msumari mmoja hata usipofika site mwezi mzima
 
Gharama za ujenzi hutegemeana na eneo husika, sehemu yenye mwinuko na udongo mgumu kama wamfinyazi gharama za fundi huwa kubwa pamoja na materials fundi anaweza kudai 1.5M kuchimba na kuinua msingi, 1.5M kuinua boma hadi kwenye lenta jumla 3M,
Tukija sehemu tambalare na undongo ni mchanga gharama za fundi huwa chini pamoja na materials fundi anaweza kudai laki 8 kuchimba na kuinua msingi, laki 5 kuinua boma hadi kwenye lenta jumla 1.3
 
Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.

Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
  • 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
  • public toilet 1
  • sitting room
  • jiko
  • store
  • laundry ndogo
  • kaofisi kadogo
Nyumba ina square meter 150 (10*15)

Karibuni wakuu mfunguke.
Mimi nimejenga Dar Kwa awamu. Ni nyumba ya vyumba vinne, vyoo viwili, sebule, dinning, kitchen, Contemporary House.

Ufundi ilikua kama ifuatavyo.
1) Msingi na mkanda wa chini 700,000/-
2) Kupandisha kozi 12 ni 800,000/-
3) Linta, Vibaraza na kozi 6 juu ni 800,000/-
4) Kupaua 1,300,000/-

Jumla 3,600,000/-
 
Back
Top Bottom