Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

Soma kifungu cha 39 (2) (b) (c) na (d) alafu sikuliza clips zao kisha chagua mwenyewe kusuka au kunyoa
Nimeshasoma na kuelewa na as far as tunavyoelewa na tulivyowafuatilia hawa ndugu zetu ktk matamshi ya maneno, hakuna mahali wanatamka wanataka kwenda kumuua Rais..!

Sasa wewe Lord denning unayeunda kosa la uhaini, thibitisha kwa ushahidi wa kosa la kila mmoja namna walivyovunja vipengere hivyo..
 
Kuhamasisha maandamano kutaka kumtoa Rais Madarakani ni uhaini kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu
Sawa, lakini je, Dr. Slaa alitamka kuwa ataitisha maandamano haramu kwa lengo hilo?Je, akisema alikuwa anakudusia kutumia maandamano ya amani na yanatambulika kikatiba bado atakuwa na hatia?

As long as maandamano ni haki ya kikatiba, hapo teyari kuna loophole?
 
Nimeshasoma na kuelewa na as far as tunavyoelewa na tulivyowafuatilia hawa ndugu zetu ktk matamshi ya maneno, hakuna mahali wanatamka wanataka kwenda kumuua Rais..!

Sasa wewe Lord denning unayeunda kosa la uhaini, thibitisha kwa ushahidi wa kosa la kila mmoja namna walivyovunja vipengere hivyo..
Ulivyosoma hapo uhaini ni kumuua Rais pekee?
 
Sawa, lakini je, Dr. Slaa alitamka kuwa ataitisha maandamano haramu kwa lengo hilo?Je, akisema alikuwa anakududia kutumia maandamano ya amani na yanatambulika kikatiba bado atakuwa na hatia?

As long as maandamano ni haki ya kikatiba, hapo teyari kuna loophole?
Ulisikia akisema maandamano ya amani?

The extreme ni kupindua Serikali ndo maandamano ya amani?
 
Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu.

Hivyo, ningependa kujua uuhaini ni kitu gani hasa kwa mujibu wa sheria husika? na zaid maneno "kupindua serikali" yanatasiriwa vipi katika sheria za nchi hii.

Kwa kuanza, tunaomba anaeweza kututuwekea sheria nzima ya uhaini afanye hivyo ili tupate walau mwanga uhaini ni kitu gani na zaid ili uhaini utimie au uhesabike ni uhaini , vitendo au matamshi gani na katika mazingira gani yanawzeza ku-fit definition ya uhaini na kumtia mtu hatiani/matatani.

Naamini kupitia kesi hii, tutajifunza mengi kama kwenye ile kesi ya ugaidi aliyopewa Freeman Mbowe.
Hakuna darasa nawe tamka kama alivyotamka utapata vifungu kwa vitendo!
 
Ulisikia akisema maandamano ya amani?

The extreme ni kupindua Serikali ndo maandamano ya amani?
Ndio the extreme kwa maana ya maandamano kama njia ya mwisho kabisa katika kuipindua serikali kama wananchi wa mataifa mengine wanavyofanya. Sasa katika hii dunia, umewahi ona au kusikia Raia wanaondama kutaka serikali iondoke madarakani wakatuhumiwa kufanya uhaini?

Ukiacha ukweli kuwa maandamano ni haki ya kikatiba, wananchi pia hawana haki ya kutaka Raia aondoke madarakani kupitia maandamano?
 
Ndio the extreme kwa maana ya maandamano kama njia ya mwisho kabisa katikq kuipindua serikali kama wananchi wa mataifa mengine wanavyofanya.. Sasa katika hii dunia, umewahi ona au kusikia Raia wanaondama kutaka serikali iondoke madarakani wakatuhumiwa kufanya uhaini?

Ukiacha ukweli kuwa maandamano ni haki ya kikatiba, wananchi pia hawana haki ya kutaka Raia aondoke madarakani kupitia maandamano?
Soma Sheria yetu alafu linganisha na hayo maneno!
 
Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu.

Hivyo, ningependa kujua uuhaini ni kitu gani hasa kwa mujibu wa sheria husika? na zaid maneno "kupindua serikali" yanatasiriwa vipi katika sheria za nchi hii.

Kwa kuanza, tunaomba anaeweza kututuwekea sheria nzima ya uhaini afanye hivyo ili tupate walau mwanga uhaini ni kitu gani na zaid ili uhaini utimie au uhesabike ni uhaini , vitendo au matamshi gani na katika mazingira gani yanawzeza ku-fit definition ya uhaini na kumtia mtu hatiani/matatani.

Naamini kupitia kesi hii, tutajifunza mengi kama kwenye ile kesi ya ugaidi aliyopewa Freeman Mbowe.
we huwezi kusoma katiba ukaielewa au unasubiri waje wapotoshaji wakuingize kingi. Tafuta katiba kasome zipo mpaka za kiswahili
 
Huelewi kuswahili? Hujui kusoma kiswahili?

Nikuelezee nini hapo wakati vifungu vya Sheria vinajieleza vizuri kabisa?
Mjinga wewe..!

Kwa sababu umevielewa kwa namna unavyotaka wewe na wahaini wenzako akiwemo Rais wenu Samia Suluhu Hassan iwe...
 
Back
Top Bottom