The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,510
- 2,060
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?