Nini chanzo cha kuibuka magazeti yanayomsifu sana rais!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
 
mkuu.. Wanapigwa mkwara, muulize pasco akuambie jinsi alivyobananishwa sasa hivi ni mwendo wa kusifia tu kama huamimini pitia makala zake after kuhojiwa! Hii ni awamu ya kusifia!
 
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
Kwani waliokuwa wakimpinga hawakuwa na lao jambo?kama umekosa hoja bora unyamaze
 
Ukichunguza kwa kina ni magazeti ya makada wa ccm na huenda wanapata ruzuku kutoka serikalini au ccm!
 
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
Anafanya kazi nzuri inaonekana na watz!! Wewe kama huoni kazi nzuri anayofanya Raisi lazima utakuwa mchawi wa maendeleo ya watz!
 
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
Mimi Nafikiri ni kutokana na usemi wa wapinzani (Chadema) wanao twambia kila kukicha kwamba "msifikiri waTanzania ni wajinga!" wana jua - wanauwezo wakutenganisha mbichi na mbivu. Hivyo hivyo hao wa magazeti ni miongoni mwa waTanzania, wametambua kwamba vitu vinaenda sawa! ubishi ubishi wa kukatisha tamaa sasa basi - sote tuungane maendeleo ni haya!!
 
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
Ukiona hivyo ujue hapo jamaa kachemsha to the Maximum, sasa anatafuta mahali pa kujishikia ili aonekane yuko imara kumbe hoi bin taaban.

Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Tukikubali ujinga huo tutatumia miaka 800 kufikia Uchumi wa dunia ya leo, haiwezekana kumsifu tu mtu hata kama kachemsha!
 
Tofauti na vipindi vilivyopita ambapo tulizoea magazeti kuandika habari zenye mirengo tofauti,lkn sasa hivi tuna magazeti mengi yanakazi ya kumsifia rais kwenye front page zao kila siku. Je sababu ni ipi hasa!? Je ni kumkubali au wana lao jambo!?
Ni sehemu ya propaganda na sehemu kubwa utakuta yanafadhiliwa na mhusika
 
Back
Top Bottom